Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mrusi ni kampuni gani Mkuu
 
Pole! Nami ilishatokea hivyo wakataka statment ya mpesa ambayo ni 7000 kuipata nami nilitoa 5000,dah! Nikaipotezea tu.Ushauri toa pesa 1xbet muda uliotulia sio siku ambazo mechi nyingi kali zinacheza
Mmh maana mm jana nlitoa usiku saa6 mkuu nasijui napataje pesa yangu hadi sasa
 
UJINGA SASA HUO MKUU YANI NA WEWE UNAENDELEA KUBAKI KWENYE KAMPUNI YA KIBWEGE
natumia Sportpesa upepo wa princess ukiwa unazingua..so naswitch...so as long am making silose chochote..we keep on gambling for life..1Xbet ni tamu sema muda pia wakuanza tengeneza mkeka...unaangalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…