Hiyo buku tatu nayo sio yangu.....ni ya advance betHapo watakurudishia hyo buk3..
JamiiForums fungia hii mutuKwani mkuu humu upo pekeako ujalazimishwa kujibu Kama hujui au hautaki Kaa kimya funga bakuri Lakota maana nalo ni jibu safi tu.........sibishani Tena na ww.....faidi ww Sasa Kima ww.
Naifata odd kubwa ivo vdgo ndovinaongoza kuua
Sipati picha game kama hii mtu atupie 1m tu! Baada ya won unaenda kuvuta ki bebiwoka cha haraka!
Baskeli ya Barafu hio, zikifika elf 10 anaweka yote af anapigwa anaanza upyaMkuu umeona eeh ni trick tu hakuna uchawi.
Advance bet ni kama vile wamekupa mkopoHiyo buku tatu nayo sio yangu.....ni ya advance bet
Wanarudisha kiasi ambacho ktabaki ukitoa hyo hela waliokuongeza...Advance bet ni kama vile wamekupa mkopo
Ina maana kuna mkeka ulikua umecheza kabla ya huo wa advance bet ukiwini ndio unatumika kulipa hiyo advance bet.
Kama usipotiki hata ule wa advance bet ukitiki huwezi kulipwa chochote
Halafu watu baadhi wanasema eti tumempoteza mdau eti kisa mtu kuomba msaada! Hebu tujiulize wote humu kwa siku ya kwanza kutumia hiz app za kubet hatujawahi kuomba mtu yoyote Yule hata Kama sio humu kwenye jf atuelekezeee?Mkuu Watu wadisign hii huwa siwaelewi wanakaa kuomba omba mikeka ya watu wavivu wa kufikirisha akili zao baada ya kuomba namna ya kupata pesa wenyewe wanaomba pesa. Wavivu sana na huko ni kujitafutia ukilema wa kupoteza pesa kizembe zembe.
Wanaoomba mikeka mara code ombeni strategies za kuwin na sibkucopy na kupest haikusaidii kitu siku kukiwa hakuna code au mkeka wa kutembelea huna ujanja.
Shots on target 2 kwa juve, 0 kwa Man yuuu! Wataweza pata mkuu kaza moyo [emoji3]Game ya juve sidhani kama itatoa 1.5 over
Daa acha nisubiriShots on target 2 kwa juve, 0 kwa Man yuuu! Wataweza pata mkuu kaza moyo [emoji3]
Mi sina hata ham nae corner mbili kipindi cha kwanza kama sio uzembe ni nini daa michezaji full kukata viuno tu sijui hawajui kuwa watu tume invest pesa zetu hukoSjamuelewa kabisa Man city Leo.
Kona hapigi kabisa[emoji24]
Umeona ehhhh! ndio vua gamba vaa gwanda.Huyo mjinga sportpesa kwanza mwizi, anachagua mechi za kuweka, dau lake la kianzio 1000/-, ukimla anakata pesa yako, hana option nyingi kama 1xbet, huwezi kuuza mkeka.Yaani kwa ujumla 1xbet ndo kila kitu.Baada ya app za kimataifa kuleta mushker leo,bas nkasema sio kesi kwa mara ya kwanza nijarib hiz za bongo,fasta nika register sportpesa,...na premier
Daah...najuta,yaan..kwel ukizoea 1xbet hiz zingne utaona kero tu...
1.kwanza .Not user friend at allll
2.very slow,hazifai kwa live inshort
3.hazina option za kijanja kabsaaaa.
4.yaaan hovyooo,.
Na imebid nitumie sabab kiukwel siwez acha pesa za game za saa tano.
Ila kesho tuu nazifutilia mbal,taka taka kabsaaa
Ngoja tumsubilii bayern...In play
Code: 5AVJ6
Odds: 2+
Risk level: 100%
Stake your balls thou!