Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu biashara zote ni sawa na betting coz tuma weka pesa na hatuna uhakika na tunachokitarajia
Nikinunua kuku manyoni kuja kuuza Dar hasra inaweza kutokea km kufa kuku, kuibiwa njian n.k ila nikifika nao Dar japo kuku 2 na nikikosa mteja atleast kuku wangu nawaona naweza kufuga or kuchinja namaanisha ktk biashara ya ukweli uwezi kukosaaa yotee hata km n club ikiiungua moto km nimeikatia Bima kuna kitu nitakipata...sasa leo wewe fanya biashara na Timu huko uropa eg: weka pesa timu flani inawin then ikalose nione ktk hio biashara yako utaadisia nini? Means hakuna utakachobaki nacho ukiliwa umeliwa tu...huu ni mchezo wa kubatisha sio biashara na aijawai kuwa biashara kwa mtu anayebet
 
nahitaji kujua kama kuna kampuni ya betting yenye odds nzuri kama bikosports iliopo Tanzania ukiacha 1xbet napenda sana kutumia bikosports lakini nazani hawa ni wababaishaji hasa kweye malipo na unaweza kudhulumiwa kabisa pesa yako jana mkeka wangu umekubali lakini nimeaambulia sms ya jamvi lako limetiki lakini m-pesa pesa haikuingia najaribu kupiga simu customer care hawapokei msaada
 
Chambua zako hapo

Sevilla win
Entracht win
Chelsea win
Genk win
D. Zagreb win



Dynamo kyv 1x
Fc Astana 1x
Fenerbahc 1x
Betis 1x
Arsenal win /1x
Villareal win


Fc astana over 1.5
Fenerbahc over 1.5
Chelsea over1.5
Entracht over 1.5
Arsenal over 1.5
Genk over 1.5

[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Wabongo tamaa ndo zinatumaliza!!!!!! Jamaa kapata almost 40% profit bado watu wanamshangaa, biashara gani ya kuleta 40k prof kwa mtaji wa 100k hapa bongo km sio betting tu???
 
Princessbet hua na odds nzuri sana kwa kampuni za kibongo ila option si nyingi sana kama meridian/premierbet
 
Yaani ww ndo limbukeni kabisa wa betting, utasubir saaaana kula, usimchanganye mwenzio kwa strategies zako za kiboya. NASUBIRI POVU.
 
Achen hayo mambo wana,ndo maana kila mtu anaakaunti yake na anabet anavyotaka yy, labda aombe ushaur wa jinsi ya kubet, ila maamuz ya mwisho kila mtu anayatoa yy mwenyewe!
 
Wakuu acheni marumbano watu mpka kupost tips wame acha kutokana na aya marumbano yenu haya jengi bali mna haribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…