Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kuna option ya sell kwenye 1xbet mchezo kama hujaisha,ina maana gani hiyo?.kwa anae fahamu plse
 
jamani 1xbet inatambulika kiserikali au laa na vp kuhusu kodi wanakata au hamna?
 
Kama unaridhia unaweza kuwauzia huo mkeka na kila mtu akala hamsini zake[emoji2] [emoji2]
ooook sawa ,but hata mie nilikuwa nahic ivo lakini kuna siku nili sell hiyo hela sikuiona kabsa,
Ndo nika dout kuwa labda nimekosea ndo nikaona nipate kufahamishwa,saa cjui sasa labda hiyo hela ipo hewani,[emoji26]
 
nimeweka hela kwenye account lakini siyioni sijuwi wataniwekea maana mimi ni mgeni
Kuna shida kwenye network nadhani! Mm pia tangu juzi nimeweka pesa, M-PESA ninao uthibitisho wa sms ila kule 1xbet haisomi. So mcheki huyo jamaa, na uwe na subra
 
kuna option ya sell kwenye 1xbet mchezo kama hujaisha,ina maana gani hiyo?.kwa anae fahamu plse
Sell unauuza mkeka wako kwenye system,
Kama umebetia let's say 1000, system ikileta neno 'SELL' gharama ya mkeka kuuza ni chini ya pesa yako uliyobetia.

System italeta pungufu ya hela yako,mfano, 1000 utauza 970,wao watapata faida sh.30 ikiwa unataka kuu-cancel mkeka wako.

Pesa ambayo utaipata baada ya kusell itajazwa kwenye main account yako, na mkeka ambao tayari uliousell utakuwa na zero amount.

Kiwango cha pesa kwenye sell kinapanda kulingana na mechi ulizozibetia zikizidi kushinda,automatic SELL hutokea.

Maana halisi ya neno SELL ni kuuza,
Ukimaliza kuplace mkeka wako, na ukagundua kuwa una makosa sehemu, basi waweza kuuza, ili huo mkeka uachane nao, na robo tatu ya hela yako itarudishwa ,na wao hawatakuachia hela yote,
Badala yake wanatoa asilimia ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…