Kawaida mkuuLoss
Huwa unacheza kwa quarter mkuu au direct win? Au handcap hapa kama mkuu Wimick, hebu tupe trick mkuu kama ipo maana kutoboa huku unapiga pesa ya mrusi hakika ni jambo jema.
Ulifanya muamala kwa mtandao gani. Je msg ya muamala ulipataNmewafata 1xbet hayo ndo majibu yaoView attachment 926235
Mm SMS ya mwamala m lipa niliipata kiongoziUlifanya muamala kwa mtandao gani. Je msg ya muamala ulipata
Guangdon vs Guangzhou over 233.5 twendeni
Umempa yupi hapo
Leo napishana na gari la mshahara hivi hivi aiseeWaliofuata WOONView attachment 926258
Halftime Over 1.5 goals - Odds 2.05
wabonge bhana vipigo vikiwazidi mnaanzisha malumbano,shem on nyie.mdau watu wameweza kufungua biashara unazoziamini wewe kupita kwenye betting tambuwa kwamba betting ni fursa kwa mtu makini, watu wamezalisha biashara zingine mtaji umetoka kwenye betting wewe unataka kutueleza nini leo hii, kuna mtu kila siku anacheza milioni 2 ili apate laki moja kwa siku na anaipata kila siku, mdau ukiwa na malengo kwenye kubeti nakwambia hata kazi hizi za kuajiliwa utaona upuuzi tu niamini mimi, tatizo sisi wabongo tunabeti pasipo na malengo lazima uwe na maamuzi kuwa kwa siku natakiwa nipate kiasi gani kikifika hicho kiasi hutakiwi kubeti tena hata kama kutakuwa uwezekano wa kuongeza mfano mimi kwa siku nikifikisha elfu 30,000 tsh basi huwa sibeti tena mpaka siku nyingine, na mtaji wangu ni elfu 20,000 tsh tu, na kupitia hii betting nimeweza fanya mambo yangu mbalimbali.
mkuu usibishane nae avatar yake yenyewe inaonyesha amejoin 2018,alihic huku kwa muhindi kuna pesa za buree.Mkuu biashara zote ni sawa na betting coz tuma weka pesa na hatuna uhakika na tunachokitarajia
Nimejaribu kweli hii michezo ya kiume nimeshindwaaa.......aaagh kwaherini