Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

OK NASHEA NA NYINYI WAKUU
ODDS 1.9+
HIZI HAPA KWA SINGLE BET.
KAMA UNAWEZA INYATIE.
NTAKUJA KUWAPA MATOKEO.
 
Mimi nacheza team kwa saa
Mfano kama kuna ambazo zinacheza saa 10 nazichukua hizo zote Naanza kuzipigia hesabu
 
Reactions: Bal
Je faida ulioitengeneza hapo inafika elfu 60 niliyoitengeneza mimi?
Na muda sio mrefu nitakuonyesha mkeka mwingine leo nimeweka buku naelekea kula elfu 70 za muhindi
 
Acha sifaaa wht for???ukishamuonyeshaa itasaidiaa nn??hebu acheni utoto it doesnt make sense at all mbona kuna watu wanakukaa helaa nyingi tu na wakeep it low....be humblee na.muache utoto hivi wakina wimicky na void wakiamuaa kufanya mnayofanyaa itakuwaje??we mangi wa wapi unakuwa mshambaa aiseee???cheza unavyojuaa bt acha sifa
Je faida ulioitengeneza hapo inafika elfu 60 niliyoitengeneza mimi?
Na muda sio mrefu nitakuonyesha mkeka mwingine leo nimeweka buku naelekea kula elfu 70 za muhindi
 
Hii kesi sio yako unaingilia kwa nini
 
Tupieni mikeka watu wa bet hizo blah blah waachieni wanawake mashindano ambayo hayamake sense......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…