Sema kias gnNani ashawahi kutoa pesa kutoka kwa pigabet, nimetoa pesa tangu saa 1 jioni mpaka sasa sijaipata. Mbaya zaidi hawana namba za simu, meseji hawajibu, mails hawajibu dah
Haaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu saa 12 asubuhi mpaka sasa hivi MIMI, BETPAWA na VODACOM tunatafuta shs 10,000 niliyowithdraw jana saa 6 usiku na bado hatujaipata
Nani ashawahi kutoa pesa kutoka kwa pigabet, nimetoa pesa tangu saa 1 jioni mpaka sasa sijaipata. Mbaya zaidi hawana namba za simu, meseji hawajibu, mails hawajibu dah
Ndo ivyo wanazngua sana awa jamaaAhaa mm nilitaka kutoa pesa ikafka ad cku mbili nikiwatumia sms awajibu afu pia awana namba ya castama care nikaamua ni refund ela yang kweny account nikaitumia ad nilivyoliwa nikawapotezea
jamaa kanichekesha mbaya kabisa, yani yeye na makampuni aliyoyaamini wanatafuta hela ambayo kawiniHaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tuko pamoja mkuu mambo sio mabaya leo, tutachamba koo pakikucha weekend iwe nzuriKwa wote waliofata hii mikeka basi dirisha lina wahusu BET WOOOOOOOON!!!!View attachment 944447View attachment 944448
hahaha! Mimi jana uck nilikuwa nimeanza kubetia basket superbet tangu exbet imeondoa payment method basi nilikuwa nina 4K nikatupia weee acha nile za uso dabo dabo duu mpaka usingizi ukajaMi nmecheza betpawa nilikula za uso kama 30k ss iv ndo namalizia kuludisha ela yangu
hahaha! Mimi jana uck nilikuwa nimeanza kubetia basket superbet tangu exbet imeondoa payment method basi nilikuwa nina 4K nikatupia weee acha nile za uso dabo dabo duu mpaka usingizi ukaja
leo asubuhi nikasema skubali nikatupia bando nikaweka mechi moja ya basket weeeh! hapa navyo kwambia nimemtembezea kichapo mpaka mkeka mmoja nimewin mpaka sasa hajanitumia hela *****!
Ndugu yangu naonaaa unawakimbiza tu...Kwa wote waliofata hii mikeka basi dirisha lina wahusu BET WOOOOOOOON!!!!View attachment 944447View attachment 944448
Kwa aliyeufata na huu pia basi dirisha linamuhusu akafanye yake. BET WOOOOOOOOOON!!!!View attachment 944476View attachment 944477
Nimekuelewa mwamba uskonde!!!Yaan hapo ndo ankai anaponiboaaa asimjibu