Mkuu hapo kwa ligi ya kiafrika umejilipua kwelikweli...Aisee hili jamvi ukishinda ni tag nikupe zawadi!
mkuu Cardiff tayari hiyo
Hongera hii nayo imetoa duh unatisha km kimetaNimetega ndoano nyingine hapa unaeza kuanza na dau dogo pia ukapunguza timu kama vipiView attachment 981940View attachment 981941
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona kawaida kupiga tuu..mikeka mirefuu...hachilia mbali single na ngumu..see attachments for your perusal..ndyo maana unafanya gambling kuangalia unapoteza sh ngap buku 1- 3 naeza nkacheza mkeka mrefu mpaka Sirari ama Rorya toka Dar.Hivi watu hawajui ku bet au? Majamvi mengine unaona kabisa hili chaka. Mtu anaweka mkeka mrefuuu kama Dar nzima vile. Kesho nakushauri weka Aresenal na Spurs kwa magoli weka mtonyo mrefu fungua wine kisha subiria hela! Very simple!
Apo nimeangalia upepo wa msaudia hakosi goal moja na amempania sana mkorea..katika games zake..so lazima analysis siyo kubonyeza tuu ilimradi odds kubwaMkuu hapo kwa ligi ya kiafrika umejilipua kwelikweli...Aisee hili jamvi ukishinda ni tag nikupe zawadi!
Nanunuaje bitcoin kwa tigo pesa mkuufungua account kwa hii site ..localbitcoin.com.. kisha nunua bitcoin kwa mpesa au tigo pesa kwa wabongo..... then utawekewa kwa waleti yako.... ndio utahamisha toka kwenye wallet yako kwenda 1xbet.......na kuwithdrow pia utahamisha toka 1xbet kwenda kwenye wallet yako yyt ya crypto currencies... then utaziuza kwa kupitia localbitcoins.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza tamani kwa nini huku stake hata 10,000 hiviSoma iyoooo stake Tsh 60[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 981700
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupu tricks aisee!
0800750032Wakuu Naombeni Namba za PREMIER BET customer care nimekosea reference namba mpunga wangu haujangia sielewi msaada siwapat whatsapp hawajibu wala Email naomben namba zao
tunaomba darasa hapo mdau ili na sisi tujimwage huko4 030,26 TZS successfully credited to account .
wazee nimefanikiwa bitcoin to 1xbet maisha mazur sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie mkuu,, nanunuaje bitcoin kwa tigo pesa4 030,26 TZS successfully credited to account .
wazee nimefanikiwa bitcoin to 1xbet maisha mazur sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm cna trick boss namfuata sana mzee kidi kudiTupu tricks aisee!
jins ya kununua muuzaji anakuwa na maelezo yake pale cha msingi ingia localbitcoins.com jisajiri mengineyo yote utayaona
Sent using Jamii Forums mobile app