Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kuna ligi kama za italy, ugiriki, uturuki hizo nyoko sana kwa kupanga matokeo
Na games nyingine mbaya kabisa ambazo unapaswa kuziepuka kuzipa direct win ni hizi za makombe kama vile FA cup kimbia mbio nyingi


Timu hata iwe kubwa namna ganiunashangaa imepigwa na timu kama kina Ipswich ...sasa nikaja kusoma sehwmu fulani lazima ujue timu hiyo inalipa kipaumbele gani kombe hilo hasa kimkwanja nadhani mfano mzuri majuzi juzi tuliona jinsi gani Simba alivyofungwa na Mashujaa

Tambua kbs Simba hilo kombe halina umuhimu wowote ule zaidi tu ni kutimiza matakwa ya kisheria ya TFF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…