Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Wazee vipi
Naomba mwenye namba ya mbet huduma kwa wateja tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee nilideposit 1xbet kwa bitcoin..sasa jana nimepiga hela wananikatalia kuwithdraw..
Zamani nilikuwa natua mpesa..nifanyeje ili niweze kutatua hili tatizo??
Naona mazee sportpesa hamuimaind kwa sana why au wazinguaji
Msaada wajuzi niangukie wapi kwenye neema tafadhali wananzengo wenzanguOptions chache, kukatwa kodi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama ulicheza Jackpot angalia vzr mgao umeendajeJaman nomben msada superbet wamenitapeli hela yangu kiasi nilicho stahili kushibdaa million moja na laki mbili lakin wamenipaa elf 9900
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa maelezo vizuri mkuu, screen shot itapendeza zaidi ikibidiJaman nomben msada superbet wamenitapeli hela yangu kiasi nilicho stahili kushibdaa million moja na laki mbili lakin wamenipaa elf 9900
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatoaje?Wazee nilideposit 1xbet kwa bitcoin..sasa jana nimepiga hela wananikatalia kuwithdraw..
Zamani nilikuwa natua mpesa..nifanyeje ili niweze kutatua hili tatizo??
Haikua ridhki Kaka..siku hazifanani.
Yaani kidogo tu...dah