Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Slot No.3
Borussia Dortmund - Tottenham Hotspur
Borussia Dortmund (Draw No Bet)
1.50
Cowdenbeath FC - Peterhead FC
Over 0.5 goals (Second Half)
1.20

Odds:
1.80
 
Slot No.3
Borussia Dortmund - Tottenham Hotspur
Borussia Dortmund (Draw No Bet)
1.50
Cowdenbeath FC - Peterhead FC
Over 0.5 goals (Second Half)
1.20

Odds:
1.80
Mzee mwenzangu hii style ya second half nimeipenda! Na goli nyingi kwa kwel zinapatikanaga kipindi cha pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiukweli msijidanganye hakuna utachofanya na mwishowe utajuta tu!!!
We jamaa unaonekana mnafki sana tena sio kidogo maana mie kazi yangu kusoma post za watu na kubeba mkeka japo sijawah kutuma mkeka wangu humu!
Kila nionapo post yako ni majungu tu na kuponda wenzio na sijui kwann una tabia za kike? Au huenda we ni ke[emoji33]but anyway hayanihusu hayo

Point yangu ni kwamba uache kufatilia watu maana hujui pesa za mtaji wanatoa wapi! Na hata kama wanalost hiyo juu yao na pesa yao na hujasaidia chochote kwenye utafutaji wa pesa ya betting[emoji88] hilo domo lako peleka saloon za kike hao watakusaidia kupiga majungu
SHEENZIIIIIIIII

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…