Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hatimaye leo kanjibai amekaa, Baada ya kugongesha miamba mara nne (kwa timu moja kuchana mkeka) ndani ya wiki moja. Hatimaye leo kanjibai nimemuingiza katika 18
View attachment 186896
Mkuu andybird314, Mimi baada ya kupopolewa sana na kanjibai nilikaa nikajiuliza napopolewa wapi na kwa nini ninapopolewa. Baada ya kujitathmini sana nikagundua vitu vifuuatavyo ndivyo vinanichanisha mkeka
1. Kutegemea mkeka wa timu nyingi
2. Kurudiarudia timu kwenye mikeka tofauti.
3. Kubet kwa mazoea na kutoangalia upepo wako upo wapi siku hiyo. Hapa utakuta mtu anabet matokeo ya mwisho wakati dhahiri matokeo ya mwisho yanaonekana kuwa magumu na say labda idadi ya magoli inayoonekana rahisi yeye haibetii. Kumbuka hii ni biashara, Biashara siku zote muuzaji huleta kitu wanachotaka wateja na sio kile akipendacho yeye(siyo kwa kuwa wewe ni mpenzi wa colgate basi unajaza colgate tuu dukani, wakati wateja wanataka whitedent, Usipoangalia colgate zako zitakudodea na mwishowe kupata hasara).
4. Pia Inatakiwa uwe versatile na ukae kibiashara zaidi (inataakiwa upige miguu yote). kuna michezo ni rahisi sana kupiga pesa apart from football. Mimi kwangu michezo myepesi kupiga pesa football nauweka namba nne kwa mtiririko huu 1. Basketball, 2. Baseball 3. Tenis na wa nne ndio football. Katika michezo say basket, ukiwa makini unapiga pesa mpaka basi hususani katika option ya Live betting.
5. Nilikuwa sichezi live betting. Ila baada ya kuichukulia betting kama ajira yangu ya pili, Imebidi nicheze online live betting. Na kulifanikisha hili na kuwa serious na biashara zaidi Nimenunua na kujiunga na kifurushi cha mwezi cha GB 41 (thanks to Airtel kwa 3.75 G yao ya ukweli na bundle za bei rahisi, Kitu muda wote kinasoma H+), Maana masuala ya kuishiwa vocha/data bundle yanaweza kukukosesha pesa kwani within fraction of second kama unacheza online unaweza kuta odds haziko upande wako ukoweka mzigo. hivyo kuulinda mtaji unatakiwa urudishe mpira kwa kipa sometimes kwa kugenerate ticket ambayo inajicancel na ile ya kwanza.
6. Watu wanabet pasipo kufanya research ya kutosha juu ya timu wanazobetia.
Thanks kwa Biohazard na trick yake ya timu moja mkeka mmoja. Hii inafaa sana, na ameniongezea kitu kipya. One love.
Naomba niseme kwamba wiki hii ni wiiki ya faida kwangu, Kwa wiki hii pekee nimetengeneza Net profit ya takriban shilingi Laki tano za kitanzania. Safari yangu ilianza na elfu kumi siku ya champions league. Muhindi anaichukulia hii kama biashara yake, Lakini nimegundua sisi tunaiichukulia poa. Natumai haya tukiyazingatia tutampiga Kanjibai.
Hatimaye leo kanjibai amekaa, Baada ya kugongesha miamba mara nne (kwa timu moja kuchana mkeka) ndani ya wiki moja. Hatimaye leo kanjibai nimemuingiza katika 18
View attachment 186896
Hii option ya red card na penalty ipo katika kila mechi au baadhi ya mechi?
Wakuu ganji ya leo. Sandakalawe, atakayepata apate.
Express your self.!
*104*37974 94384 503 11#
*104* 30500 72655 49232#
Baba lao
* 149* 9953 9684 9437 82#
* 149* 4963 3934 1291 40 #
Kazi ni kwako.
* 104 * 65443 365008 0941 #
*104 * 42976 347070 5019 #
Sharing is caring wadau. Mikeka myema..!
One Love.
thanx mkuu mi nimeiwai moja ya kazi ni kwako
Karibuni tuinvest katika soko la hisa la betting... Iwe meridian,m-bet,ladbrokerz, iplay8casino n.k. Kwa m-bet voda ni *149*19#. Kwa meridian online ingia www.meridian.co.tz then jaza fom yao halafu watakutumia link katika e-mail yako ili kuactivate account yako, ukishafungua hiyo link ndo tayari ushajiunga. Ukitaka kudeposit au kuwithidraw mzigo kwa meridian njia ya m-pesa chek page namba 205 ktk thread hii.
Mkuu nimeingia Meridian.co.tz ila inafunguka na kuniandikia Javascript tu,kwani kuna kitu unatakiwa kudownload....?
jamani leo nimeingia premier sports betting tanzania.... inaniletea fixtures ambazo zishapita yaani za tar 18 na 19... nifanyaje??
Hajapost premier set mpya toka ijumaa.....