Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

hiii kali....lalamiko hili ....jipya ....dau linagomea jero....

Labda kajiwekea limit, nilisoma sehemu kwamba unaweza kuset limit ya kiasi gani uwe unabet, sasa kama mdau alifanya hivyo bila kujua inawezekana.

cc rongai
 
Last edited by a moderator:
Leo natafuta total odds 3, nitupie kitu nipate mtaji wa kesho.

Wadau kuna vocha kwa atakayeleta odds 3 za ushindi, tudiscuss.

Muhindi ni mgumu sana kumla individually.

Nitatupia soon mkeka wangu

tafuta game 4 za 2+ zitatoa tu
 
Leo natafuta total odds 3, nitupie kitu nipate mtaji wa kesho.

Wadau kuna vocha kwa atakayeleta odds 3 za ushindi, tudiscuss.

Muhindi ni mgumu sana kumla individually.

Nitatupia soon mkeka wangu

Mkuu weka Juve, Fulham na Hadeinheim wote uhakika hawa.
 
Chelsea win
man city win
odds 2.25
5000=11250
5000= 112500
100000=225000
kazi kwenu.....
 
chelsea win
man city win
tottenham win
bayern munchen win
atletico madrid win win
roma win
benfica win
psg win
liverpool win

Total odds 22.51877

mwenye mashaka twamtoa.....
 
chelsea win
man city win
tottenham win
bayern munchen win
atletico madrid win win
roma win
benfica win
psg win
liverpool win

Total odds 22.51877

mwenye mashaka twamtoa.....

Mechi hizi zote zimetulia. Mimi naweka dollar 50 kama mechi zilivyo ila Mancity,Bayern nampa +1 goals
 
Back
Top Bottom