Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nimekuwa nabet muda mrefu sana na huwa nakula mara nyingi sana na pia kuloose mara nyingi pia,
Kuna jambo la msingi nataka kushare na wenzangu wazee wa mikeka,
Dont concetrate much kwenye muhindi katoa odd ngap kwenye timu ipi go to reality kati ya timu na timu kwa mfano jana kuna matokeo yalikuwa so obvious kama,

Bayerleverkusen v/s wolfurburg japo wolfburg alipewa odd kubwa
 
So its not much kuhusu muhindi kampa nan ngap chek reality mtu anaweza kuwa na odd 4 au 6 even 10 na anashinda so go into game in details before kuangalia muhindi katoa ngap kuna watu hata wapewe 50 akiwa home afungwi
 
Inabidi tukae vizuri tena kuhusu mhindi mie leo natafuta odds nne tu naweka laki basi
 
wandugu salama?? leo nabet kama wahindi wa town wanavobet, arsenal win valencia win. odds ni 1.98 najilipuaaaaa
 

Attachments

  • 1423989095983.jpg
    1423989095983.jpg
    73.6 KB · Views: 201
Roma
Anderlecht kaua wengi mimi mmoja wao. Ila sikati tamaa hadi siku moja itiki
 
Mpira wa Italy umetawalia na kamali Sana..sikutegemea kabisa kama Roma atatuua Leo..but anyway ngoja tujipange next fixture..
 
Back
Top Bottom