CMBO
JF-Expert Member
- Oct 22, 2010
- 398
- 337
Wakuu nimekuwa nabet muda mrefu sana na huwa nakula mara nyingi sana na pia kuloose mara nyingi pia,
Kuna jambo la msingi nataka kushare na wenzangu wazee wa mikeka,
Dont concetrate much kwenye muhindi katoa odd ngap kwenye timu ipi go to reality kati ya timu na timu kwa mfano jana kuna matokeo yalikuwa so obvious kama,
Bayerleverkusen v/s wolfurburg japo wolfburg alipewa odd kubwa