AfisaUbashiriMwandamizi
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 794
- 1,139
Pia wikendi hii usimpe Barcelona direct win, kuna uwezekano 50/50 anaweza draw au fungwa pia.
Ni salama zaidi kumpa GG - yes au over 2.5 goals. Wapinzani wake ni wa moto kweli weekend hii, wapo kwenye fomu nzuri.
Ni salama zaidi kumpa GG - yes au over 2.5 goals. Wapinzani wake ni wa moto kweli weekend hii, wapo kwenye fomu nzuri.