Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Muache kuitukana yanga 😂 Mana wameshinda point tatu wamechukua , we kama ulitaka wafunge magoli ungeingia uwanjan ww ukafunge😂 betting not for weak😂 hii gemu wengi waliipapatikia mara waeke over 4.5 😂 nkajua apa Ngoma 1-0 inaweza ikaenda nkaiacha
 
Muache kuitukana yanga [emoji23] Mana wameshinda point tatu wamechukua , we kama ulitaka wafunge magoli ungeingia uwanjan ww ukafunge[emoji23] betting not for weak[emoji23] hii gemu wengi waliipapatikia mara waeke over 4.5 [emoji23] nkajua apa Ngoma 1-0 inaweza ikaenda nkaiacha
Yani yanga wa kufunga goli moja kweli
 
shukrani mkuu.
nilikuwa sijui hii feature. wale wenzangu na mimi, kila kitu mpaka tuulize, code-hub ni feature inayopatikana sportybet.

hii hapa
Hapa ukitulia kuchambua mkuu hukosi kabisa, tena kuna odds 1 hadi million 9 kwahiyo higher staker hadi wazee wa matren panatufaa, unafilter to odds unazotaka zinakuja.
 
Mkamalia wakati anaibetia yanga over 1.5 😂
 

Attachments

  • 1B0A0F73-D9E4-48B5-A369-7F0CAA969F23.jpeg
    1B0A0F73-D9E4-48B5-A369-7F0CAA969F23.jpeg
    51.1 KB · Views: 3
Young African 2/2
1.8 won
Wacha uongo bao ni moja tu lazima kuwe na X hapo hivyo ulivyo andika maana yake yanga ilitakiwa kushinda kila kipindi..2/2 ni sawa sawa na option ya away win both waves
 
Wacha uongo bao ni moja tu lazima kuwe na X hapo hivyo ulivyo andika maana yake yanga ilitakiwa kushinda kila kipindi..2/2 ni sawa sawa na option ya away win both waves
Mkuu unajua maana ya hii option HT/FT? Ungeijua basi usingeleta ubish angalia screen shot hapo juu.
 
Back
Top Bottom