Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

leo moyo ulikua mzito mno kuweka mikeka,
nikajitia jeuri,......
Kiukweli timu zilikua zimekaa vibaya leo mikeka inatoboa kiroho ngumu tu lakini kuna namna tujifunze kuangalia timu kwa jicho la tatu mfano mechi ya bayern Chelsea juve au jana Dortmund wapinzani hawakua wanyonge sana
 
Bahati yake kaponyoka 😅

Screenshot_2024-10-06-21-26-11-81.jpg
Screenshot_2024-10-06-21-26-11-81.jpg
 
Maisha sio mepesi hivyo, alafu kwanini mwanaume uishi kwa kubahatisha? Utalisha familia kweli!
zAman nilikuwa sipend na naogopa sana maisha ya kubahatisha lakin leo nimejikuta naishi maisha hayo na mpaka nimezoea

Nilikuwa najiuliza watu wasio na akiba ya pesa wanaishije lakin bhana kumbe inawezekana kuishi bila kujua kesho itakuwaje
 
Back
Top Bottom