Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Jiue hutoiona tenaSioni sababu ya msingi serikali kutofuta michezo ya kubahatisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiue hutoiona tenaSioni sababu ya msingi serikali kutofuta michezo ya kubahatisha.
Mjinga anataka nikose hata mtajiHuyu vfb stutt kala nini leo
😀😀😀 kaka subiri kwanza ilo suala tutaongea vzr asubuhi, kwa sasa embu tupige dua huyu paok ashindeMaisha sio mepesi hivyo, alafu kwanini mwanaume uishi kwa kubahatisha? Utalisha familia kweli!
Kodi ambayo serikali inakusanya kupitia betting utailipa wewe na mkeo?Sioni sababu ya msingi serikali kutofuta michezo ya kubahatisha.
Bet ina hitaji akili sana ya kuokoa pesa unayo chezea na kutafuta faida ushindi 😁Hawa jamaa ni wachaw sjui wanafanyaje
Kanji lazima adondoke tu leo hata afanyeje 😁😁😁Malalamiko ni mengi leo🤣
Daa mkuu hata Mimi huyo ndo mbaya wangu amesepa na teni yangu. Odds 17.43 kaharibu yeye sioni tusi la kumtusi mamaye zakeStuttgart makuma kweli nmewaomba goli 2 imegoma imekuja kupewa goli dk za mwisho la penat dah kmmk sa walimfungaje Dortmund goli Tano ☹️😠💔
Kama una odd za uhakika ....unakosaje mtaji sasa....Nikopesheni mtaji wazee maana odds zangu hamnunui kumamake[emoji16]