Inter nae ungemrida kwa 2xNataka niweke 50,000 halafu nizime simu katika options hizi. ..ushauri wenu tafadhali..nani anaweza zingua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inter nae ungemrida kwa 2xNataka niweke 50,000 halafu nizime simu katika options hizi. ..ushauri wenu tafadhali..nani anaweza zingua?
Muhindi kaogopa,watu wengi wamepita nazo mpk akaogopaDaaah yanga asubuhi alikuwa na odd 2.12 nacheck saizi 1.35
Mzee baba mbona uwo mkeka umepiga tiki mechi zote wakati Brentford jana game iliisha moja mojaLeo mkae mkao wakula leo ninta share code yenye odds 500+ ila timu zitaandikwa kwenye kalatasi nintapost hapa kwakua mimi situmiagi simu kuweka jamvi.
Hata mimi nimeshangaaMzee baba mbona uwo mkeka umepiga tiki mechi zote wakati Brentford jana game iliisha moja moja
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Spo vzuri kwenye kutengeneza mkeka wala kuedit kama unaweza nieditia ata zikishuka chini ya io odds 50k sio mbaya af ziwe kwenye range ya timu 18 mpaka 40 ivii itapendeza kakatren zangu huwa zina odds 50000 kwenda juu na huwa inachanaga mbili kama unaweza ku edit nikutumie mkeka
Ni kama SportyBet sometime huwa sjui wana jisahau ama vipi mkeka unaweza chana zeni ukakuta tikiMzee baba mbona uwo mkeka umepiga tiki mechi zote wakati Brentford jana game iliisha moja moja
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
sawa nakusukia mpaka mich zitazoanza usiku mpaka tar 5Spo vzuri kwenye kutengeneza mkeka wala kuedit kama unaweza nieditia ata zikishuka chini ya io odds 50k sio mbaya af ziwe kwenye range ya timu 18 mpaka 40 ivii itapendeza kaka
Japo leo sna mtaji ila ntaangalia uwezekano kama ntapataa
Nnachokifanya hua natia stake kubwa naweka mara mbili af nakua naskilizia cash out zipande kwaio zikichana timu tatu kushuka chini lazima kipatikane chochote kitu then ntakufosia ya maji kaka
Na mimi nasubiri treni hilo nipandesawa nakusukia mpaka mich zitazoanza usiku mpaka tar 5
Yanga akifungwa leo watu watalia machozi ya damuNaona kampuni zote za Mrusi option ya Yanga win wameamua kuipiga kufuli kabisa baada ya mwanzoni kuipa odd 2 na wananzengo wakaivamia kama nyuki 😂
Hata aki draw tu bado ni vilio maana 2x ilikua na odd ndogo sana kuzifuataYanga akifungwa leo watu watalia machozi ya damu
HatariYanga akifungwa leo watu watalia machozi ya damu
Odds ngapiJamani naombeni code ya betpawa nirudishe hata mtaji wangu leo nimekaa kinyonge sana
Jana ilikuwa 4.62Daaah yanga asubuhi alikuwa na odd 2.12 nacheck saizi 1.35
Lete code mkuu nasubiriaLeo mkae mkao wakula leo ninta share code yenye odds 500+ ila timu zitaandikwa kwenye kalatasi nintapost hapa kwakua mimi situmiagi simu kuweka jamvi.
Hii kampuni gani naona wapo vizuri sanaJana ilikuwa 4.62View attachment 3139123
Hii kampuni gani naona wapo vizuri sana