Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sio za bet winner nimesa weka code au games acha mambo yako ya provide

Kifupi ulisema hivi

DFG5 PARIPESA

AU UKIWEKA SNAP YA GAME ZOTE NINI KINAKWAMISHA
Kila mtu apost anavyo penda. Mbona unataka kila mtu afanye unavyo taka wewe? Huo ni udikteta. Moto ya JamiiForums ni Where We Dare To Talk Openly. So let's embrace free speech here buddy.
 
Mkuu kwani 1xbet imesajiliwa Tanzania? Mbona kuna makato ya kodi kwenye kila ushindi? Makato ya kodi haijalishi kama kampuni ipo Tanzania au la. Ndiyo maana mwanzo PariPesa walikuwa wanalipa kodi ambapo 1xbet walikuwa hawalipi kodi. Mkuu mimi nimehadaa na hadaa kitu gani mkuu? Mkuu changamoto za malipo zipo kwenye kampuni zote za mrusi. Iwe 1xbet, Helabet au Megapari. Sasa mimi nimehadaa kitu gani. Halafu pia mkuu, mtu kujiunga kwenye kampuni yoyote ile ni hiari ya mtu. Hakuna mtu anayelazimisha kujiunga. Ila changamoto za Kudeposit na kuwithdraw huwa inatokea kwenye kampuni zote. Mimi napenda kutumia kampuni za mrusi, Siyo PariPesa tu, natumia 1xbet, Megapari, Betwinner nk, ila huwa sipendi Kuweka mikeka yote hapa. Nabet mikeka mingi kwenye kampuni tofauti tofauti kwa siku na siwezi post yote hapa
Issue sio kodi
Nimeku quote wewe umemjibu mdau kwamba Paripesa wameongea na serikali eti kodi watalipa wao. Ndio nika kuuliza wameongea na serikali ipi? Na kwa usajili upi?.... badala ya kujibu unaanza porojo

Speaking of ku HADAA
YES unahadaa watu hapa, hii sio mara ya kwanza kila siku unakuja na NGONJERA MPYA
Kuna siku nilikubana ukajitia unadeposi kwa Astropay siku nyingine tena ukaja na ngonjera za Bitcoin

Been in this fucking game for quite long time..... NAJUA NINACHOANDIKA
Nayajua MACHUNGU ya mkamalia ambaye kashaliwa sana hela zake halafu siku akibahatisha anaanza kusumbuliwa utadhani anaomba kazi ........ it is very very frustrating

Hao wasengë wamenidhulumu hela yangu nyingi sana, waliniambia hadi nitume picha nimeshilia vitambulisho vyangu.
Siwe kukaa kimya kuona mtu anaingizwa choo cha kike

Asilimia 99 ya watu wanaolalamika kutoa hela hapa jf ni mbwa wanaoitwa Paripesa
 
Ndugu wazee, kubet sometimes ni USENGE. Tazama hawa wapuuzi nimewapa OVER 2.5, yaani wale nisiowapa ndio wametoa lakini hii timu niliyoibetia imenilaza na viatu. Pambaf!
1734727862167.png
 
Issue sio kodi
Nimeku quote wewe umemjibu mdau kwamba Paripesa wameongea na serikali eti kodi watalipa wao. Ndio nika kuuliza wameongea na serikali ipi? Na kwa usajili upi?.... badala ya kujibu unaanza porojo

Speaking of ku HADAA
YES unahadaa watu hapa, hii sio mara ya kwanza kila siku unakuja na NGONJERA MPYA
Kuna siku nilikubana ukajitia unadeposi kwa Astropay siku nyingine tena ukaja na ngonjera za Bitcoin

Been in this fucking game for quite long time..... NAJUA NINACHOANDIKA
Nayajua MACHUNGU ya mkamalia ambaye kashaliwa sana hela zake halafu siku akibahatisha anaanza kusumbuliwa utadhani anaomba kazi ........ it is very very frustrating

Hao wasengë wamenidhulumu hela yangu nyingi sana, waliniambia hadi nitume picha nimeshilia vitambulisho vyangu.
Siwe kukaa kimya kuona mtu anaingizwa choo cha kike

Asilimia 99 ya watu wanaolalamika kutoa hela hapa jf ni mbwa wanaoitwa Paripesa
1xbet iliwahi kuwa shughuli kwenye kutoa hela. Ukishinda tu wanaanza kukwambia verify your account. Sasa hapo utaambiwa uscan vitambulisho, any government doc, niliambiwa ni watumie matakataka mengi including nyaraka yoyote inayo onesha malipo nayofanya kwenye bill utilities nikasema huu upumbavu nikatemana nao.
 
Leo kumekucha namna hii
 
Attachments

  • Screenshot_2024-12-21-07-24-14-709_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    Screenshot_2024-12-21-07-24-14-709_com.sportybet.android.gp.tz.jpg
    140.8 KB · Views: 4
Back
Top Bottom