Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Sijawah kumuotea kanji kwenye Wc. leo najaribu ya mwsho, akinlaza naendlea na ligi za scandnavia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawah kumuotea kanji kwenye Wc. leo najaribu ya mwsho, akinlaza naendlea na ligi za scandnavia.
jamani wadau belgium na marekani mnaionaje leo na argentina. mtu anipe ushauri maana kazi yetu imekua ngumu mno
jamani wadau belgium na marekani mnaionaje leo na argentina. mtu anipe ushauri maana kazi yetu imekua ngumu mno
Yani hii biashara imekua ngumu sana
Hahahaha pole mkuu mie nafuta dhambi kidogo nimekua muangaliaji tu
jamani wadau belgium na marekani mnaionaje leo na argentina. mtu anipe ushauri maana kazi yetu imekua ngumu mno
Dah hii nitaiheshimu sana betting noma sana sana wedi kapu hii duuuuh yaani ful kilio hakuna siku ya afadhali
mwache kanjibah atuwekee mazingira mazuri ya new season agost
hapa ni mwendo wa half time/full time kwenye premier betting yaan kwenye mechi moja unabet mara mbili ni mwendo wa point 4 hadi 99.hadi kanjibah anakasirika.
Hizo premier betting ziko wapi
iPlay8Casino.com - Casino GamesMkuu nimeona unazungumzia something like iplay, naomba nieleze how to register and other stuffs, unaweza bet match moja tu both in normal and Handicap?
iPlay8Casino.com - Casino Games
Ukienda hapo itakusaidia zaidi hawa wao wana kila kitu unachagua wewe mwenyewe. Ina vitu vingi vya kubet
Uzuri wake ni huu ukiweka hela kama timu imepewa 2.6 wewe ukaweka dollar 10 hapo utapata dollar 26 kama hela yako ila watakurudishia na hela yako pia ile dollar 10 hivyo kwenye account yako itakuwa ni 30$
Wanarudisha hela kama ukishinda
Ukishajiunga watakiwa utume hela mpesa au tigo pesa kutumia 888866 reference iwe number yao ya simu afu utachukua confirmation code na kuwatumia wao iplay kwa email afu wataongeza hela yako
na ukitaka kudraw hela unaweza kwa m-pesa?