camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Kwa mantiki hiyo hata wabudha nao ni waislam!Na kwa ushahidi wa Kiakiolojia ni Maandishi ya Kiarabu ya kale (pre-Islamic inscriptions) kama yale ya (Qaryat al-Faw) na (Najran) yanaonyesha baadhi ya watu waliamini Mungu mmoja.
(Inskripsheni ya Umm al-Jimal) (Jordan) ya karne ya 5–6 BK inaonesha matumizi ya neno (Allah) kabla ya Muhammadi.
Na Maandiko ya Nabataean (karibu Petra) pia yanaonyesha imani za karibu na tauhidi kabla ya Muhammadi kuja rasmi.
Ushahidi wa simulizi huru Wanahistoria wa Kirumi na Wagiriki kama (Pliny the Elder na Diodorus Siculus) walirekodi kuwapo kwa watu wa jangwani waliokuwa na maisha ya kiroho yenye kanuni kali.
(Monotheistic sects) kama "Ebionites, Essenes" na baadhi ya "Nazarenes" waliamini nabii atakayekuja na walikataa Utatu ni sawa na mtazamo wa Kiislamu.
Kwa Maneno ya wanahistoria wa kimagharibi
Baadhi ya watafiti, kama "Montgomery Watt" "Karen Armstrong"na "John Esposito" wameandika kwamba Uislamu haukuanzishwa upya bali uliendeleza ujumbe wa dini ya Ibrahim.
Uislamu ni mfumo wa kumwamini Mungu mmoja kuishi kwa maadili na kumuabudu Muumba Uislamu una historia ndefu inayorudi nyuma kabla ya Mtume Muhammad (SAW) Uislamu wa sasa ni kilele cha muendelezo wa dini ya mitume.
Wapo Catholic extremistsKwenye u catholic is different, catholic si religious extrimist , na wana himiza sana watu wasome wafanye kazi zingine
Is why back in the days waliaminika sana na vyombo vya usalama
Na vijana wengi wa seminary walienda huko
Wangekuwa too much extrimist wana follow dini hawachapi kazi wana elimu , hiyo mikoa ingekwua kama kigoma
We km unavyojulikana ni mwehuHii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Swali lako linaweza kurudishwa hata kwa Yesu je waliomtabilia walikuwa Dini gani.Kwa mantiki hiyo hata wabudha nao ni waislam!
Wenye babu yao Ibrahim mayahudi hadi leo wanaamini katika Mungu mmoja nao ni waislam?
Hebu kuwa serious basi Mkuu.
Kwani hujui kuwa uislam ni sawa na Kiswahili ambacho kimekopa maneno kutoka lugha mbalimbali (Lahaja)?
Uislam ni muunganiko wa practizes za mayahudi,wakatoliki,makureshi na didi mbalimbali zilizokuwa zikiabudiwa pale Meccah yaani kwa ufupi ni CHAUMA ya wakatoliki chini ya Khadijah,Bahirah na Waraqah!
Unajua aliyemtabiria unabii Mwamedi alikuwa dini gani?
Aliyemwambia mtume kuwa kile kiumbe kilichomkaba pangoni kuwa ni Gibril alikuwa dini gani?
Za kuambiwa changanya na zqko basi!
Ndiyo sababu kuu ya mafuriko ya wachaga kurudi kwao mwezi DecemberZamani niliamini wachaga karibu wote ni waumini wa dini ya kikristo, lakini nillipo tembelea huko uchagani mwezi December nikagundua huenda zaidi ya 80% ya wachaga ni wapagani na waumini nguli wa dini za kijadi (mizimu, matambiko na ushirikina)
Kuna ndugu yetu nusu tumkose aliichukulia powa mila akabezi kwenye hizo za kigeni wee alipigwa chuma ya kwenda sahivi tunapuliza vibuyu wotee na kanisa kalisahauDini za jadi zina ushetani mwingi, tena kuna maagano ya kutisha vizazi na vizazi afadhali dini za kigeni hazina maagano ya kutisha, unaamini ukiona vema na ukiona si vema unaacha. Ila ni kweli kuna mikoa imeharibiwa akili na dini mpaka watu wengine wamekuwa ni katili kwa kutetea dini, wako tayari kuua na kujitoa muhanga ili tu waende akhera
Manabii wa kiyahudi, au unataka kusema Isaya ni muislam?Swali lako linaweza kurudishwa hata kwa Yesu je waliomtabilia walikuwa Dini gani.
Mbona uarabuni wanakofuata Sharia za kiislamu wana maendeleo kuliko huku uswahilini ?Aisee maybe you dont know dhat, moja ya effect kubwa ya dini huwa inafanya jamii husika IQ zao kuwa chini, kuokuweza kufikiria mbali.
Huwez kupata maendeleo bila kuwa na wananchi wanaofahamu umuhimu wa kuwa nayo
Mikoa iko affected with this ni pwani, at one time nimepita mtwara kupanda juu ambaa na hiyo coast ya tz, the more watu wanashika dini the more thinking capacity na maendeleo yanakuwa duni
Sisem mikoa yote ya pwani, ila mostly hii kitu ipo kwa mikoa hiyo
Substitute ya masikin anapokosa kushika kitu, anashika dini
Uyahudi ni ukoo wa Yesu wala si Dini, leta hiyo Dini ya wayahudi.Manabii wa kiyahudi, au unataka kusema Isaya ni muislam?
Hoja ya monotheism kuwa kigezo cha kuwa muislam inafutwa na existence ya monotheistc religions kama Budhism na Judaism, hata wahindu wanaamini katika Mungu mmoja nao ni waislamu?
Hata wakristu nao wanaaamini katika Mungu mmoja na msingi wao wa imani ni huu
#NASADIKI
Nasadiki kwa mungu mmoja,
baba mwenyezi,/mwumba mbingu na nchi,
na vitu vyote vinavyo onekana, /na visivyo onekana.
nasadiki kwa bwana mmoja yesu kristo,
mwana wa pekee wa mungu.
Aliye zaliwa kwa baba /tangu milele yote,
Mungu alitetoka kwa mungu,
Mwanga kwa mwanga,
Mungu kweli kwa mungu kweli aliyezaliwa bira kuumbwa,
Mwenye umungu mmoja na baba,
Ambaye vitu vyote vimeumbwa naye,
Ameshuka toka mbinguni kwa ajiri yetu sisi wanadamu na kwa ajili ya mwokovu wetu.
Akapata mwili kwa uwezo wa roho mtakatifu kwake yeye Bikira maria, /akawa mwanadamu.
akasurubiwapia /kwa ajili yetu sisi ;
Akateswa kwa mamlaka ya ponsyo pilato, akafa,akazikwa
Akafufuka siku ya tatu, /ilivyoandikwa. Akapaa mbinguni amekaa kuume kwa baba.
Atakuja tena kwa utukufu ;
Nao ufalme wake hautakuwa na mwisho.
Nasadiki kwa roho mtakatifu,
Bwana mleta uzima,
Atokae kwa baba na mwana,
Anaeabudiwa na kutukuzwa pamoja na baba na mwana:
Aliyenena kwa vinjwa vya manabii.
Nasadiki kwa kanisa moja,
Takatifu,katoriki,la mitume.
Naungama ubatizo mmoja kwa maondoleo ya dhambi nangojea na ufufuko wa wafu.
Na uzima wa milele ijayo.Amina.
Una ihakika wanafuata kikamilifu? Wale sahiz ni mchanganyiko wa western societis hata mila zao zimeshabadilika, si waarabu wa 60sMbona uarabuni wanakofuata Sharia za kiislamu wana maendeleo kuliko huku uswahilini ?
subiri uone atakavokemea pepo.Hivi mwenye uzi huu siyo yeye kweli 👇🏽
Nimegundua mbinu mpya kabisa ya kuzalisha gas ya kupikia pasipo kuisha (Gas Re-recycling)
Ondoa kilimanjaro na Mbeya. Hao watu wana dini lakini wanajitambua sana. Rejea siasa za mikoa hiyo ni mfano mzuri. Wengine waliobaki wako kma ulivyosema.Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Una uhakika mtu mweusi anashika dini kuliko mwenye dini yake mkuu ?Una ihakika wanafuata kikamilifu? Wale sahiz ni mchanganyiko wa western societis hata mila zao zimeshabadilika, si waarabu wa 60s
Mtu mweusi huku anashikilia dini kuliko wenye dini yao
Kwa namna mlivyomezeshwa mmeaminishwa kuwa dini ni moja tu,uislam?Uyahudi ni ukoo wa Yesu wala si Dini, leta hiyo Dini ya wayahudi.
Nyie ndo walewale wa sinagogi ni msikiti wa wayahudi!Uyahudi ni ukoo wa Yesu wala si Dini, leta hiyo Dini ya wayahudi.
Japo mningongoneze na mimi basi,nimechoka na umaskini!Mbeya Wana manabii wengi kushinda Israel kwa wayahudi
Kushika dini na kutenda dhambi ni mambo mawili tofautiUna uhakika mtu mweusi anashika dini kuliko mwenye dini yake mkuu ?
Kwa hiyo tuseme hawa washika dini weusi hawatendi dhambi hata moja ?
5 kushuka chini itoe yote kwenye list. Waliobaki nakuunga mkono.Hii ni mikoa nane ambayo watu wake wengi zaidi wamelewa ulevi wa dini hadi kufikia kiwango cha kuwa kama watu wenye matatizo ya akili/waliochanganyikiwa.
1. Dar es Salaam
2. Mbeya
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mikoa yote Zanzibar
6. Pwani
7. Lindi
8. Mtwara
Kushika dini kunaenda sambamba na kushika mafundisho ya hiyo dini.Kushika dini na kutenda dhambi ni mambo mawili tofauti