Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasema, Dodoma na Mwanza!Unataka ifanyike wapi
Basi ungefanyika GOMA na sio KIGOMAMkutano kama huu unaohusu DRC na mgogoro wa maziwa makuu ungefanyikia Kigoma au Mwanza ingekuwa na maana zaidi.
Huyo mjinga achana nae! Unawezaje kusema Mwanza porini wakati ni mji mkubwa wenye local flight nyingi baada ya Dar es Salaam!Mwanza ni porini??
Mwanza hakuna mahoteli makubwa ya kutosha hata mkutano wa SADC?
Wewe unapaonaje?Kuna shida gani huko Ruvuma anapotoka katibu mkuu wa chama chako na makamu wa Rais?
Basi sawa watapeleka next time.Ndio, panafaa. Kwani hao viongozi wa SADC ni malaika au wazungu??
Mbeya ni Kijiji changamanoMwanza na mbeya hazijafikia hadhi ya kuitwa jiji.arusha tu inajikongoja.mwanza ni manispaa
Mwanza ambayo airport leo sijui mwaka wa ngapi haijaisha..Mwanza bwana ilikuwa na potential ya kuwa mji mzuri sana! Very unfortunate! 🥹
Duniani kote iko miji ya mikutano sababu huwa ni security,accommodation na kulinda hadhi ya nchi hata huko marekani kituo cha mikutano ya kimataifa ni New York,China ni Beijing, ufaransa tunasikiaga Paris tu,Sweden ni Stockholm etc ni issue ya kawaida tuKwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Ulitaka.ifanyike sehemu choka mbaya kama Dodoma ilivyo ya hovyo,yaani Rais wa South Africa aoge maji ya saltKwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Huyu mtusi asiwasumbue na maswali ya kipekenuzi. Muulizeni mbona kwao kila shughuli ni Kigali.Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Kwa Marekani;Duniani kote iko miji ya mikutano sababu huwa ni security,accommodation na kulinda hadhi ya nchi hata huko marekani kituo cha mikutano ya kimataifa ni New York,China ni Beijing, ufaransa tunasikiaga Paris tu,Sweden ni Stockholm etc ni issue ya kawaida tu
Wanyama ni bora kuliko sisi mkuuMmekataa kujenga barabara kwa kiwango cha lami kuunganishampanda na Kibaoni kupitia mbugani.
===
Yaani pangefunguliwa pale mambo yangekuwa muswano!