Mikutano mikubwa ya kimataifa Tanzania lazima ifanyikie Arusha na Dar tu?

Mwanza ni porini??
Mwanza hakuna mahoteli makubwa ya kutosha hata mkutano wa SADC?
Huyo mjinga achana nae! Unawezaje kusema Mwanza porini wakati ni mji mkubwa wenye local flight nyingi baada ya Dar es Salaam!
 
Mkutano wa Sadac ufanyike Mbinga kule Songea (Ruvuma).
 
Kuna shida gani huko Ruvuma anapotoka katibu mkuu wa chama chako na makamu wa Rais?
 
Mwanza bwana ilikuwa na potential ya kuwa mji mzuri sana! Very unfortunate! 🥹
Mwanza ambayo airport leo sijui mwaka wa ngapi haijaisha..

Naamini kabisa mwanza bado ina potential kubwa kama akipatika kiongozi wa kuiwekea jicho la karibu
 
Kwa nini mikutano mikubwa ya kimataifa inayofanyikia Tanzania haifanyikii mikoa tofauti kama Dodoma au Mwanza bali mara zote ni Dar es Salaam na Arusha tu?
Duniani kote iko miji ya mikutano sababu huwa ni security,accommodation na kulinda hadhi ya nchi hata huko marekani kituo cha mikutano ya kimataifa ni New York,China ni Beijing, ufaransa tunasikiaga Paris tu,Sweden ni Stockholm etc ni issue ya kawaida tu
 
Ulitaka.ifanyike sehemu choka mbaya kama Dodoma ilivyo ya hovyo,yaani Rais wa South Africa aoge maji ya salt
 
Huyu mtusi asiwasumbue na maswali ya kipekenuzi. Muulizeni mbona kwao kila shughuli ni Kigali.
 
Rwanda ni sawa na mkoa mmoja tu wa Tanzania
 
Duniani kote iko miji ya mikutano sababu huwa ni security,accommodation na kulinda hadhi ya nchi hata huko marekani kituo cha mikutano ya kimataifa ni New York,China ni Beijing, ufaransa tunasikiaga Paris tu,Sweden ni Stockholm etc ni issue ya kawaida tu
Kwa Marekani;
Mji mkuu wa Marekani ni Washington DC.
The Global Climate Action Summit mwaka jana ilifanyikia Los Angeles.
Mkutano wa G20 wakati wa Obama ulifanyikia Pennsylvania.
Kuna mikutano mingi tu mikubwa inayofanyikia Camp David, Maryland.
 
Ulitaka.ifanyike sehemu choka mbaya kama Dodoma ilivyo ya hovyo,yaani Rais wa South Africa aoge maji ya salt
Wanaweza kubeba maji laini kwenye jaba wakampelekea.
 
Back
Top Bottom