Millard Ayo kapoteza maboya vijana wengi waliokuwa wanatamani kuwa kama yeye

Kipato kizuri ni shilingi ngapi? Na mnajuaje kipato cha mtu
Nenda kafuatilie deals za matangazo ya kibiashara alizopata au anazopata Millard Ayo kipindi cha miaka 7 toka sasa nilipoandika kurudi miaka ya nyuma utajua kipato kizuri kinakuwaje.
Tunazungumzia milioni kadhaa kwa mwezi siyo mbili au tatu au 4.
Fuatilia na activities zake za youtube ukadirie analipwa kiasi gani na youtube.

Nenda kwa digital advertising agent kubwa za bongo uwaulize mkitaka kunifanyia kampeni ya kibiashara nataka matangazo yangu yatangazwe kwenye social media za Milard Ayo na kwenye kipindi chake cha Redioni itanigharimu kiasi gani mambo ya media buying?

Uzingatie na umri wake idadi ya wafanyakazi wake n.k.
 

Naomba nikuulize. Unamjua. Umeshawahi kumwona au kuongea naye. Je Kuna connection yake ilivuja ukaona wewe na comrades Wenzako?

Au nawe mteja wa mambo hayo. Mlikuwa kikaoni. Proove your credibility. Kwa kuwa issue Hii Ni kumdhalilisha mume wa mtu hadharani. You need to have something tangible.
 
Bora useme na wewe
Ukiwa shoga lazima watu waseme tu. Hata ulaya na marekani bado ni hivyo. Siyo kitu cha kawaida. Kwetu kama usemavyo mkuu. Ni aina ya mapenzi iliyochukuwa kasi sana. Hasa kwa vijana walio na kazi nzuri malazi nk. Hata fununu kwamba kituo fulani kwa upande wa muziki wanahusika na rushwa ya ngono tena ya jinsia moja. Huyu Ayo ishazungumzwa mpaka twaona kawaida. Na siyo kana kwamba hatumpendi. Ila ukweli ndio huo. Hongera kwake kwa kupanchi. Ila ni ……
 
Bora hata wewe umeona hili watu wananishambulia tu bure, hii kitu haijawahi kuwa nyepesi hata huko kwa wazungu napo bado Hali haijawa wazi nikiangaliaga clip jinsi wazazi wanavosikitishwa na hyo Hali Hadi kulia watoto wao wakiume wakibadili jinsia hata Caitlyn Jenner alivo jibadili Jinsia yake na kuwa mwanamke familia yake nzima ililia sana kuanzia mke Hadi watoto, akaanzisha na kipindi cha being Caitlin Jenner kikakosa watazamaji kikafutwa
 
Acha unafki wanakushambulia bure nini, ulivyosema hivyo bila kuwa na ushahidi unadhani ndugu zake wanajiskiaje? Unamfananishaje mtu ambaye kabadili jinsia na mtu ambaye huna uhakika kama ni shoga
Mnafiki wewe hata mkishambulia haibadilishi ukweli wa mambo mnataka ushahidi hapa tuko court au wapi, unafiki siachi ni nyie mnaoficha ukweli wa mambo
 
Umeuliza ujinga mtupu hata sijaelewa unachokitaka, hafu huu Uzi mashoga mumekuwa wakali kwerikweri in Magus voice
 
Tobaaaa weee 😳😳😳
 
JamiiForums imekuwa kijiwe cha umbea na kuzushia watu mambo yasiyo ya kweli na mods wamekaa Kimya tu,kama mnau ushahidi leteni ila sio kumharibia tu mtu jina.Watu bongo wanachuki tu na watu nahisi hii ni kutokana na maisha Yao kuwa magumu kiasi cha kuwa wanazushia watu mambo ya kuwadhalilisha this is unacceptable
 
Siku hizi hii kitu inapigiwa promo sana katika movie zote hata series unakutana nayo sana hayo manyanya na wanajifaharisha kwa kusema mbele za watu kwamba wao ni manyanya .Mungu tustiri tunakoelekea siko kabisa.
 
Wewe dada stress na ugumu wamaisha vinakusumbua
[emoji23][emoji23]if stress was a person oooh, dah principle yangu moja nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko I'm sometimes blunt, na haihusiani na ugumu wa maisha, I have a roof to sleep, nakula lolote, Sina stress I'm happy enjoying my life na kubishana na watu humu JF mkuu
 
Kuna bro mmoja anatoka familia ya machifu uchagani. Alio akazaa ila naye wadau wakawa wanamnanihii. Alfariki sikumbuki kwa
Kitu gani. Ila huu mchezo kwa kweli unaharibu sana vijana wa kiume. Hasa wenye uwezo. Ila labda kwo ndio maendeleo….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…