Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Nenda kafuatilie deals za matangazo ya kibiashara alizopata au anazopata Millard Ayo kipindi cha miaka 7 toka sasa nilipoandika kurudi miaka ya nyuma utajua kipato kizuri kinakuwaje.Kipato kizuri ni shilingi ngapi? Na mnajuaje kipato cha mtu
Tunazungumzia milioni kadhaa kwa mwezi siyo mbili au tatu au 4.
Fuatilia na activities zake za youtube ukadirie analipwa kiasi gani na youtube.
Nenda kwa digital advertising agent kubwa za bongo uwaulize mkitaka kunifanyia kampeni ya kibiashara nataka matangazo yangu yatangazwe kwenye social media za Milard Ayo na kwenye kipindi chake cha Redioni itanigharimu kiasi gani mambo ya media buying?
Uzingatie na umri wake idadi ya wafanyakazi wake n.k.