Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

Kwani msomi wa foundation ya ukocha UDSM anasemaje kuhusu hili. Kwako ngara23
 
Hapana Mkuu kocha ulie mfukuza kumfuata tena nikama mwanamke ulie shindana nae kwa tabia yake mbaya alafu unaanza kumhitaji lazima awe na nyodo
Ni bora uliyemfukuza, unamuomba msamaha tu mnayajenga.
Aliyejiondokea, ukimrudisha, kuna siku atajiondokea tena.
 
Puuzi moja kubwa sana wewe. Unafikiri kuifunga simba kiujanja ujanja ndio ushawishi huko duniani? Aliondoka utopotolo sababu ya ushawishi wa fedha hao waarabu. Unaongea utopolo gani hapa?
 
Ni bora uliyemfukuza, unamuomba msamaha tu mnayajenga.
Aliyejiondokea, ukimrudisha, kuna siku atajiondokea tena.
Mfano tu lakini. Usije fanya upuuzi huu katika maisha yako yote. Mwanamke akikufanyia vituko ukamuonya inashindikana ukamfukuza usimrudie tena
 
Puuzi moja kubwa sana wewe. Unafikiri kuifunga simba kiujanja ujanja ndio ushawishi huko duniani? Aliondoka utopotolo sababu ya ushawishi wa fedha hao waarabu. Unaongea utopolo gani hapa?
Tuliza jazba na matusi hiki sio kilinge cha wahuni bali ni jukwaa la watu wanaojibu vitu kwa hoja na mpangilio.

Yanga ya Miloud haikumfunga Simba kiujanja janja bali walifungwa goli 2 huku waamuzi wakiwa kutoka Misri.

Tunapozungumzia hoja ya ushawishi wa fedha, je unaijua hiyo Ismaily kwasasa ina hali gani kiuchumi? Kwasasa Yanga inaizidi Ismaily katika kila kitu na endapo uongozi wangeona umuhimu wa Miloud, lazima wangekaa nae chini kuona namna ya kumboreshea maslahi yake. Miloud asingekataa kwasababu kwasasa Yanga ni timu kubwa kuliko Ismaily.

Usikariri eti kila klabu kutoka uarabuni ipo vizuri kifedha kuliko timu zetu za Tanzania.
 
Makocha wanaotakiwa kwa sasa ni huyu au Gamondi. Atleast wanaijua timu, ila vinginevyo akiletwa mengine ndio yaleyale tutaambiwa tumpe muda, wakati mashabiki wa bongo swala la uvumilivu hatuna. Viongozi walifanya mistake kumtoa Miloud kwani yy timu alishaijua na alijua ,uhitaji wa timu katika kila mechi na timu ilikuwa inacheza vizuri sana. Ila wakisema wamlete mwengine mgeni itakuwa sawa na kucheza kamari anaweza akaclick au akachemka kama mwenzake.
 
Niliwahi kuwa na wazo kama lako.

 
Kweli mkuu, arejeshwe tu. Pia haikuwa hiyari yake kuondoka.
 
1. Gamondi
2. Miloud

Nabi ana mpira soft, anadeal sana na counter. Lile pira la Gamond ni heavy, Miloud ni soft ila anakutesa mpinzani.
 
Chukua Pepsi kwa Mangi ntalipa.
 
Miloud alisema kuwa hakuona nia ya viongozi wa Yanga kumbakisha.
 
Kwa nn mnahangaika kubadilisha makocha kila msimu wakati target yenu kila siku nikumfunga simba na mmefanikiwa lini mlifanya vizuri kimataifa
 
Lakini ulimtetea sana Eminem wakati sisi waona mbali tulimkataa
 
Tugange yajayo hamna haja ya kumrudisha huyo Miloud, Hersi aangalie kocha mpya mwengne kama ni CV ataipatia hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…