1. Naamka saa 3 ,naoga nakunywa chai by saa 4
2.Naingia online session ya digital assets ( crypto trading) kwa masaa 2
3. Napumzika kwa lisaa limoja huku napata kinywaji cha Absolute Vodka (mixer ice blocks,lemon)
4.Napata lunch saa 8
5.Nalala kidogo mpaka saa 10 ,
6. Naingia tena kwenye online session kufanya followup ya AI Stocks na ETFs trending kwa masaa mawili
7. Saa 12:30 naingia gym ipo umballi wa kutembea kwa miguu mpaka saa 2:30 usiku
8.Narudi home kuoga
9. Natoka kwenda kupata tena kinywaji mpaka saa 5 au 6
10. Narudi kulala , naamka saa 3 kesho yake
Ratiba hii ni Jtatu - Ijumaa mchana, kuanzia ijumaa jioni ,jmosi na jpili nahangaika na milupo na pombe
NB: Watoto wote wanne wapo shule za boarding
Mke nilishamfukuza nimevuta hand brake kwanza kupunguza stress, naishi na wafanyakazi wawili wa kazi za nje na kazi za ndani