Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Hapo wewe ukiwa Ndio Mwananchi (mwenye nchi) unafanya kazi gani kuhakikisha hilo linafanyika?!Kama kweli Nchi hii kuna wazalendo wa kweli na wana uchungu wa Nchi hii na wanataka kukumbukwa katika historia ya Nchi hii, hata kama ni CCM wenyewe, watuletee mgombea mwingine wa Urais mwaka 2025.
Mama apumzike na apewe heshima yake yote kama Rais mstaafu.
Majibu ya namna hii yanaashiria kuishiwa hoja. Jibu hoja ya mleta mada kuwa Rais ana uwezo mdogo sana kulinganisha na nafasi anayoishikilia.kinakusumbua chuki zako na wivu
Kama Tanzania inaheshimu haki za binadamu sana ongea shiti kuhusu samia. Ongelea madhaifu yake kwenye mitandao yote ya kijamii just for one month kisha urudi kutuambia namna ambavyo haki za binadamu zinaheshimiwa humu nchini kwetu.sure,
bado kuna yapo mengi yafaa kurekebishwa na kuboreshwa zaid hususan elimu ya kilimo cha kisasa.
Na wizara husika inafanya kazi kubwa sana kwenye hili.
Rais, mkuu wa nchi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan anashauriwa vizuri sana kwenye sekta ya kilimo na hata kufikia hatua ya kuanzishwa na kuipa mtaji benki ya kilimo.
Graduate wanayo fursa za ajira bwerere na ya wazi sana kwenye sekta ya kilimo iliyoboershwa sana. Zaidi sana wana fursa kwenye ufugaji, biashara, usafirishaji n.k.
lakini pia wanayo fursa ya wazi kabisa ya kiuchumi, kwani katika kila halmashauri nchini, kuna kuna fedha za mikopo kwajili ya vijana. waungane na kwenda kuchukua mikopo hiyo na kujiendeleza kwenye shughuli mbalimbali za kiuchumi.
Tanzania tunaheshimu haki za binadamu mno ukilinganisha na nchi yoyote Africa Mashariki na Africa kwa ujumla. Nchi yetu haiko katika viwango vya uvunjifu wa haki za binadamu na ndiyo maana ulimwengu mzima unajua kwamba Tanzania ni kisiwa cha amani na upendo.
Hata hivyo,
Ifahamike duniani kote, yeyote atakae jaribu kuhatarisha au kuvuruga umoja, amani na utulivu wa wananchi Tanzania atashughikiwa kwa nguvu zote, kwani Amani ya waTanzania italindwa kwa nguvu gharama zote bila mbambamba ya nchi yoyote ya kigeni au kibaraka wao yeyote humu nchini.
Mimi ni kiongozi wa wananchi na ni raia mwema mzalendo wa Taifa hili, mchapakazi nisiestahili kupewa chochote bali furaha na amani yangu ni kuona wananchi wanapata mahitaji yao muhimu kwa kujitosheleza 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Upo sahihi kabisa na mimi nasimama na wewe una hoja kabisaMimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Pamoja na kuwa sikubaliani na wewe juu ya hayo uliyo yataja ndicho kiwe kipimo cha uongozi, nakubaliana na wewe kwamba mleta mada hajaeleza popote kwa ufasaha wa kueleweka ubovu wa uongozi wa Samia ni upi hasa.Bado hujaeleweka, kwa mfano ameshindwa kuongoza nini?
Mbona Uchumi unakuwa, Mikopo kwa Wanafunzi wa level zote Diploma & Degree ipo, Mikopo kwa Wakulima inapatikana, Miradi mikubwa inaendelea kutekelezwa
Umeona kuna Mkwamo wapi?
Lucas Mwashambwa njoo huku kuna mtu anakuchokozaMimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.
Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.
Hana uwezo hata chembe.
That says a lot ueledi wa civil services,
It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Ofcourse kama unachota billions za madili bila kelele lazma awe best president ever happened to you.She is the best president ever happened! Alafu sio rahisi amfurahishe kila mtu hatoweza na wala hutoweza
Uwezo huo ni kitu gani? Fafanua unapoongea na wa kuumeni!
Hiyo "hekima" unayo mtaka yeye awe nayo/aionyeshe, hilo ni tamanio asiloliona yeye kuwa na maana yoyote, na kusema kweli sijui kama unaliwasilisha hapa ukiwa na matumaini ya yeye kufanya hivyo!Siwezi kusema Rais hana akili wala uwezo. Akili anayo lakini siyo ya kutosheleza mahitaji ya nafasi anayoishikilia.
Nafasi anayoishikilia inahitaji akili kubwa, uwezo mkubwa, maarifa ya kutosha. Kwa ufupi ni kwamba tumebebesha tani 50 za mzigo kwenye bajaji. Japo siyo kweli kuwa bajaji haiwezi kubeba mzigo.
Kama Rais atakuwa na uwezo wa kuifikia hekima, ni vema sana amalizie tu kipindi hiki alicholazimika kuchukua madaraka kwa mujibu wa katiba yetu hii mbovu, kisha apumzike; na Taifa limshukuru kwa hicho alichokikamilisha. Akikosa hekima, akadanganyika na hawa punguani machawa njaa wanaompa sifa za uwongo, kipindi cha miaka 5 itakayofuata, kitakuwa kigumu sana kwake, kwasababu uvumilivu wa watu wenye akili dhidi yake utazidi kupungua siku baada ya siku, na atakuja kuwakumbuka wote waliomshauri apumzike. Anaweza kuishia kupata stress za ajabu, zitakazodhoogisha sana hata afya yake.
Hakuna Raisi amewahi pita akaongelewa vizuri,anaongelewaga vizuri akisha kuwa nje ya system,Kwa hiyo hata huyu tutaona wema wake akisha sepà! Siku Mjomba Magu ana Rest in peace,wapo walio chinja Hadi mbuzi kusherehekea kifo wapo ambao nawajua hata huku mtaani ila Leo wanasema Dah kuna vitu mwamba angekuwepo mara hivi mara vile,Kikwete Hadi aliitwa Mzee WA kuchekacheka,ana kichwa kibovu hata Nazi ina thamani! Hakuna Raisi hajatukanwa Ila alionekana ukubwa wake baada ya madaraka sasa Kwa nini nisiseme hata Mama ni Moja ya maraisi wazuri hawajawahi tokea nchi yetu!Ofcourse kama unachota billions za madili bila kelele lazma awe best president ever happened to you.
je ametoa ushahidi kuwa ana uwezo mdogo,wakati kuna ushahidi ulio waziwazi wa maendeleo makubwa chini ya usimamizi chini ya samiaMajibu ya namna hii yanaashiria kuishiwa hoja. Jibu hoja ya mleta mada kuwa Rais ana uwezo mdogo sana kulinganisha na nafasi anayoishikilia.
gentleman,Kama Tanzania inaheshimu haki za binadamu sana ongea shiti kuhusu samia. Ongelea madhaifu yake kwenye mitandao yote ya kijamii just for one month kisha urudi kutuambia namna ambavyo haki za binadamu zinaheshimiwa humu nchini kwetu.
Gentleman,Hii Serikali ya kijinga Sana. Kuna jambo nimeligindua ndio maa nasema hivyo.
Tuwe wakweli mkuu, civil service ya Tanzania ilishakuwa compromised mno. Ndiyo hao hutumika kuiba kura ili kuweka madarakani watawala kwa ushindi batili.Civil services ambao ni ulinzi wa nchi na wa sio wa mzaha kabisa kwenye ascendency. Na sina shika wa succession planning yao.
Watafanya nini? Wanaweza kuzuia au kukosoa?This is not accident (hii inaonyesha pia ni kwamba civil ni weak) kukubali kuachia raisi ateuwe watu anavyojisikia.
Daah,Huko wala usijali waziri wa mambo ya nje kwa sasa, ni mtaalamu.
Lakini Samia akili hana, lazima tukubaliane kwenye hilo watanzania.
Kafikaje hapo halipo MaCCM yanajua yenyewe succession planning. Mimi binafsi siwezi kukaa kikao ata cha mtaa kitachoongozwa na Samia.
Huyu mtu Kafikaje hapo na Generał Mabeyo kabisa aliwapinga watu apewe nchi is beyond me.
Samia akili hana, huo ni ukweli usiopingika.