Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Tupambane wazee hakuna atakaye kuletea ugali mbuzi mezani zaidi ya wewe!
Kwa hiyo wewe akili yako yote ime ishia kwenye "ugali mezani"!
Hakuna jingine lolote unalo lifikiria nje ya hilo unapo itazama Tanzania kama nchi kati ya mataifa mengine duniani!

Huo "ugali na mbuzi mezani", hakika Samia anauweza sana huku akihakikisha watu kama wewe "utwana" ndiyo hadhi na sifa kuu mnayo ipigania maishani mwenu.
 
Daah,
Chawa Lucas Mwashambwa na msaidizi wake Tlaatlaah wachukue notes hapa
sasa gentleman,
unanitag kabisa nishuhudie chuki binafsi, makasiriko , mihemko na ghadhabu za waliopoteza uelekeo na waliokata tamaa kama huyo mlalamishi asie na mawazo mapya na wala asie fikra mbadala, kweli?

unaelewa muerevu huibua changamoto na kupendekeza majawabu ya changamoto hizo ili kushawishi wengine wamuunge mkono,
sasa mungwana ana lalamika tu na hapo ukimchalenge kidogo tu, apendekeze mbadala,
kwanza ataona aibu kwasababu hakuna mbadala na atakaopendekeza ni aibu tupu,

lakini pili ukimchimba chimba kidogo, atapandisha mihemko na makasiriko na halafu aanze kuporomosha matusi mazito mazito na hilo ndilo litakua hitimisho la hoja yake 🤣
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Nakuunga mkono, huyo bibi Hana uwezo kabisa, na anajijua, kwa ustawi wa taifa kaa pembeni bibi, kuliko kiendelea kuharibu hili taifa.
 
In another situation, sio hii.

Ni miujiza tu Samia kafikaje hapo. Kuna watu wakwenda kuwashindanisha kwenye ballot box. Ila sio huyo mama.

Kaka, kwetu kumekucha; halafu nina mpango wa kutambika kwenye makaburi ya wazazi na Samia ana wapambe wake nuksi bila ya kuwatuma it’s food for though.

Alamsiki
Alifikishwa hapo na JK.
 
Pamoja na kuwa sikubaliani na wewe juu ya hayo uliyo yataja ndicho kiwe kipimo cha uongozi, nakubaliana na wewe kwamba mleta mada hajaeleza popote kwa ufasaha wa kueleweka ubovu wa uongozi wa Samia ni upi hasa.

Natamani mjadala ungejikita huko zaidi kuliko ulalamishi wa kiujumla jumla tu kama unao fanyika hapa.

Ukweli kwamba Samia hana uwezo wa kuwa kiongozi wa nchi unaonekana katika mambo mengi tu; lakini hasa kimsingi zaidi ni kuwa Samia hana uwezo wa kujuwa nchi inako elekea (Dira); lakini hata kama angekuwa anajuwa hana uwezo wa kuielezea na kuisimamia hiyo dira.
Chukulia ule mfano wa uigizaji wa zile "4R", alizo tengenezewa na wanao mzunguka ili aonekane ana maono fulani. Hata waliozitengeneza hawaku jishughulisha na kumfundisha maana yake ni nini ili aweze kuwasilisha maono hayo kwa wananchi; ambao ndio walengwa wa maono yenyewe!

Tatizo langu kubwa dhidi ya uongozi wa Samia, ni kuua moyo wa nchi hii; wananchi kujuwa nafasi yao katika kulijenga taifa lao. Ni wajibu wa waTanzania kuleta maendeleo yao, si wajibu wa mtu mwingine yeyote toka nje. WaTanzania sasa wanabaki kuandaliwa tu watumike kama watwana wa hao anao watengenezea mazingira toka huko nje. Kamwe hatuwezi kuwa na taifa la namna hiyo na kujisifu kwamba sisi ni taifa linalo endelea.

Kwenye hili, ni dhahiri kabisa kuwa Samia anajipambanua kuwa adui mkubwa wa nchi hii, na siyo kiongozi wake.
Nilipopata nafasi ya kupitia Mandate for Leadership alopewa Donald Trump kuifuata ndo nilipothibitisha kwamba kweli hawa Deep State wapo.

Yaani statecrafters wameandaa sera za Marekani kwanza ambazo ni lazima Trump azifuate akishinda uraisi.

Sasa sie tuna Dira ya Maendeleo ya 2050 lakini bado raisi aweza kuja na vitu kama 4Rs ambazo hazimo katika dira hiyo.

Hiyo ni kasoro mojawapo ambayo watu hufanya.
 
I am not motivated on gaining materials which I don’t think I have worked hard to gain them.

Nor being comfortable to gain positions which I don’t think, I earned them on merit.

Probably there was something na malezi yetu ya ‘Arusha School’ kwa miaka yetu, alichosema Mange ndio uhalisia wa wengi wetu, hatuko comfortable na kupewa vitu ambavyo atujavipagia.

Personal imefikia hatua, vigogo wakubwa wa usalama wanataka nirudi naona kama vile sistahili.

Siamini kwenye mafanikio ya kupewa, isipokuwa ya kuyapigania. Na tafsiri yangu ya mafanikio na mtu kama Lugumi ni tofauti sana.
Sasa kama umewagomea wakubwa wa usalama na wenyewe wamo humu, hudhani watakuchomea kwa mama kusema ana uwezo mdogo sana na akili zake ni ndogo sana?😀
 
Yeye na Kamala ni mapacha
Nchi yetu ina matobo matobo mengi, katiba mbovu, system zote weak hivyo tunahitaji kiongozi ambaye tayari ana uwezo mkubwa wa kiakili kichwani na ambaye ni visionary yeye kama yeye kabla ya “taasisi ya urais”

Kamala ataongoza vizuri sababu mifumo ya nchi yake itamruhusu aongoze vizuri isipokuwa kwa madhaifu machache.

Japo Mi sijasema chochote juu ya uwezo wa Rais wangu Samia 😀
 
Hakuna Raisi amewahi pita akaongelewa vizuri,anaongelewaga vizuri akisha kuwa nje ya system,Kwa hiyo hata huyu tutaona wema wake akisha sepà! Siku Mjomba Magu ana Rest in peace,wapo walio chinja Hadi mbuzi kusherehekea kifo wapo ambao nawajua hata huku mtaani ila Leo wanasema Dah kuna vitu mwamba angekuwepo mara hivi mara vile,Kikwete Hadi aliitwa Mzee WA kuchekacheka,ana kichwa kibovu hata Nazi ina thamani! Hakuna Raisi hajatukanwa Ila alionekana ukubwa wake baada ya madaraka sasa Kwa nini nisiseme hata Mama ni Moja ya maraisi wazuri hawajawahi tokea nchi yetu!
Tupambane wazee hakuna atakaye kuletea ugali mbuzi mezani zaidi ya wewe!
Hutu kazidi,we huoni
 
Kwa hiyo wewe akili yako yote ime ishia kwenye "ugali mezani"!
Hakuna jingine lolote unalo lifikiria nje ya hilo unapo itazama Tanzania kama nchi kati ya mataifa mengine duniani!

Huo "ugali na mbuzi mezani", hakika Samia anauweza sana huku akihakikisha watu kama wewe "utwana" ndiyo hadhi na sifa kuu mnayo ipigania maishani mwenu.
Si sema hiki hiki hakiko Sawa,zaidi ni kufuata mkumbo
 
Back
Top Bottom