Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Kutomsikiliza kwako hakumnyimi kutimiza ahadi zote zilizosemwa hadharani mwaka 2020 wakati wa kampeni, anazitimiza mmoja baada ya nyingine.
 
Sijui mikoani lakini hapa Dar hivi kwa nini usitaje hoteli iliyofungwa?
Hotel, tuchukulie New Africa, Hyatt (Kilimanjaro), Holiday Inn, Southern Sun, Hilton, etc etc, ipi ilifungwa? Au ndiyo uzushi?
Kama kufungwa hoteli miaka ya 2020 hadi 2021 ilikwa kwa sababu ya COVID; Mwendazake alikataa kabisa kufunga nchi; sasa sioni hoja yako hapo. Na mwendazake alikuwa anapenda sana pesa za watalii ili atomize miradi yake.

Sema Nchi nyingi zilikuwa na lockdown watalii walizuiwa huko kwao kutoka nje kwa sababu ya COVID.

Hizo ndiyo hadithi za vijiweni, unasikia watu wanaongea na wewe unarukia hata bila ya kufanya utafiti.

Kama huna evidence usimpakazie. Hizo ndiyo siasa za maji taka.
Pesa zilizokuwa zimefichwa na wafanyabiashara awamu ya tano hivi sasa zipo kazini. Maghorofa yanafumuka kama uyoga jijini Dar, tumpe heshima yake Rais SSH kwa kuwezesha ufanyaji biashara katika awamu yake.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
 
Naamini JF tupo salama na Taarifa zetu zinalindwa haziwezi kupelekwa kwa mamlaka yyte kwa uchunguzi.. Maana kwa sasa hamna media wala platform unayoweza kutoa maoni yako na kufunguka kama JF
 
Unampenda! Haya ndiyo majibu rahisi ya Watanzania. Unajipenda na kuwapenda wanao?
Hapa tunajadili mambo ya Samia hayo ya kujipenda na kuwapenda wanangu hayahusiani na mada iliyopo mezani.

Jibu hoja ya mleta post
 
Naamini JF tupo salama na Taarifa zetu zinalindwa haziwezi kupelekwa kwa mamlaka yyte kwa uchunguzi.. Maana kwa sasa hamna media wala platform unayoweza kutoa maoni yako na kufunguka kama JF
Usijiamini sana, hujawahi kukaa na wamiliki wa Jf nyumba moja hata kwa wiki 1 tu

Na hakuna uhuru usio na mipaka
 
Platform pekee yenye uhuru duniani ni Telegram na cryptopto currency

Hazitoii taarifa kwa serkl au polisi wanapoomba taarifa
Ni private sector na haziwezi ku hackiwa
Ata zikitokea taarifa za kuhujumu huwa n siri ya platfform hizo
 
Uliyoongea yote ni porojo tu zenye lengo la kusifu na kuabudu.

Hao watu unaoita mabwanyeye kitu wanathamini zaidi ni uhai. Kisha uhuru wa kutoa maoni ni mkubwa. Watu wanaruhusiwa kupumua maana ni nzuri kwa afya ya akili. Sasa kwetu watu wamegeuzwa makondoo ili watawala wafanye wanachotaka. Hilo ni janga kubwa sana ambalo linaenda kinyume na misingi ya haki. Huwezi kuwafanya raia wako kama misukule kwa kuwakata ulimi kwa kuogopa kuambiwa ukweli hadi kufikia kuwaangamiza kabisa.
gentleman,
huwa sibabaiki na wala sisiti kusema ukweli regardless mwingine atajiskiaje.

Tanzania hatuko na wala hatutakuja kuwako katika list ya nchi duniani, zisizozingatia haki za binadamu, kwasababu ni wadau muhimu wa mkataba wa amani wa rome. Na kwakweli Tanzania ni balozi muhimu sana wa Amani Africa Mashariki, ukanda wa maziwa makuu na Africa kwa ujumla.

Kwahiyo mtu anae bwekabweka ati Tanzania hakuna haki za kibinadamu anajaribu kuhadaa ulimwengu na dunia ambayo kwa kiasi kikubwa baada ya kujidhirisha kwamba jambo hilo ni hakuna Tanzania, kwasasa imewapuuza wanaharakati hao uchwara wanaodeka bila kuwajibika.

Infact,
Tanzania itaendelea kuzingatia misingi ya haki za binadamu na utawala bora katika kuwaletea wananchi wake maendeleo bila kujali kelele za wasiota kakuwajibika kisiasa, kijamii na kiuchumi na kuilaumu serikali.

Hilo halitaibanaisha nchi, na kwakweli kama Taifa tutaendelea kuilinda amani, Umoja na utulivu wa wananchi Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile bila kujali mbambamba za mtu yeyote yule wa kudeka 🐒
 
Usijiamini sana, hujawahi kukaa na wamiliki wa Jf nyumba moja hata kwa wiki 1 tu

Na hakuna uhuru usio na mipaka
Mkuu unataka kusema kua hio serkal au polisi inaweza kuomba kufanya uchunguzi humu JF na mods wakamtoa mwana JF alietoa taarifa hio?

Tunacho hitaji ni Freedom of speech
 
Pesa zilizokuwa zimefichwa na wafanyabiashara awamu ya tano hivi sasa zipo kazini. Maghorofa yanafumuka kama uyoga jijini Dar, tumpe heshima yake Rais SSH kwa kuwezesha ufanyaji biashara katika awamu yake.
Walificha wapi?? Thubutu! Hizo zinajenga sasa hivi na hayo magorofa ni mianya ya mama Abdul na tozo za pesa zenu, wakati ule ufiche pesa wapi? Unajua thamani ya shillingi wewe? Mfanyabiashara gani aweke fedha yake kwenye Shilingi halafu afiche?
 
Mkuu unataka kusema kua hio serkal au polisi inaweza kuomba kufanya uchunguzi humu JF na mods wakamtoa mwana JF alietoa taarifa hio?

Tunacho hitaji ni Freedom of speech
Hakuna uhuru usio na mipaka

Wewe unafikiri mmiliki wa Jf aambiwe atapewa bilioni 5 atoe taarifa zako atakataa hiyo hela?
 
Kwa njaa ya kwetu Afrika anakutoa mapema saa 1 asubuhi. Labda hatuhakikishie hapa

Mtu pekee Duniani aliekataa kutoa taarifa za watumiaji wa platform yake kwa serikali au polisi japokuwa taarifa na maovu yalikuwa yanatolewa kwenye platform hio ni CEO wa Telegram
 
Ha
Platform pekee yenye uhuru duniani ni Telegram na cryptopto currency

Hazitoii taarifa kwa serkl au polisi wanapoomba taarifa
Ni private sector na haziwezi ku hackiwa
Ata zikitokea taarifa za kuhujumu huwa n siri ya platfform hizo
Hakuna platform ambayo haiwezi kuwa hacked, ni suala la muda tu
 
Walificha wapi?? Thubutu! Hizo zinajenga sasa hivi na hayo magorofa ni mianya ya mama Abdul na tozo za pesa zenu, wakati ule ufiche pesa wapi? Unajua thamani ya shillingi wewe? Mfanyabiashara gani aweke fedha yake kwenye Shilingi halafu afiche?
BAada ya anko Mgu kuanza kushikilia pesa za wafanya biashara zilizokuwa benki. Wafanya biashara waliamua kuziweka kwenye benki za watu binafsi zilizopo nje ya nchi ( offshore akaunti) Dubai unaruhusiwa kuwekeza kwa kiasi chochte cha fedha na hauulizwi ulipozitoa

Ishu za majengo ni plan baada ya kutoka kwenye uongozi. Chukua chsko mapema
 
Kwa njaa ya kwetu Afrika anakutoa mapema saa 1 asubuhi. Labda hatuhakikishie hapa

Mtu pekee Duniani aliekataa kutoa taarifa za watumiaji wa platform yake kwa serikali au polisi japokuwa taarifa na maovu yalikuwa yanatolewa kwenye platform hio ni CEO wa Telegram
Ukiwa mbobezi wa masuala ya information technology utakuja kugundua kuwa hakuna siri duniani na hakuna system ambayo haiwezi kuwa hacked, ni suala la muda tu

CEO wa Jf lazima atasema atatulinda lakini utambue yeye ni binadamu tu siyo Malaika, akifuatwa na Mwigulu Nchemba lazima atatoa tu
 
Hapa tunajadili mambo ya Samia hayo ya kujipenda na kuwapenda wanangu hayahusiani na mada iliyopo mezani.

Jibu hoja ya mleta post
Wewe umesema unampenda; maana hiyo kumpenda haifafanui kitu. Kuna wale kama wewe walisema walipiga kura kwa JK kwa sababu sura yake eti nzuri; kudadeki, wewe unachagua Rais kwa kumpenda bila sera? au kwa kumuone huruma sympathy? Upuuzi. Kwanza unaangalia je huyu ana ajenda kuhusu maisha yangu na future ya Watoto wako; tuache upuuzi huu. CCM 99.99 wanachaguana kwa kupendana ndiyo maana tupo hapa. Nchi tangu 1961 bado ipo pale pale s--thole
 
gentleman,
huwa sibabaiki na wala sisiti kusema ukweli regardless mwingine atajiskiaje.

Tanzania hatuko na wala hatutakuja kuwako katika list ya nchi duniani, zisizozingatia haki za binadamu, kwasababu ni wadau muhimu wa mkataba wa amani wa rome. Na kwakweli Tanzania ni balozi muhimu sana wa Amani Africa Mashariki, ukanda wa maziwa makuu na Africa kwa ujumla.

Kwahiyo mtu anae bwekabweka ati Tanzania hakuna haki za kibinadamu anajaribu kuhadaa ulimwengu na dunia ambayo kwa kiasi kikubwa baada ya kujidhirisha kwamba jambo hilo ni hakuna Tanzania, kwasasa imewapuuza wanaharakati hao uchwara wanaodeka bila kuwajibika.

Infact,
Tanzania itaendelea kuzingatia misingi ya haki za binadamu na utawala bora katika kuwaletea wananchi wake maendeleo bila kujali kelele za wasiota kakuwajibika kisiasa, kijamii na kiuchumi na kuilaumu serikali.

Hilo halitaibanaisha nchi, na kwakweli kama Taifa tutaendelea kuilinda amani, Umoja na utulivu wa wananchi Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile bila kujali mbambamba za mtu yeyote yule wa kudeka 🐒
We endelea kufurahia hongo za buku7 Lumumba
 
Ha

Hakuna platform ambayo haiwezi kuwa hacked, ni suala la muda tu
Kuna watu wanaita Data analyst, cyber security, Coding na programmer hufanya kazi masaa 24
mfumo wa kupia kura wa marekani hua ni wa electronic. Ma hacher hutengewa fedha kuu hack ili wahakikishe kua ni imara. Hawajawahi kufanikiwa hata hao Darkweb maana coding inayotumika ni ya hali ya juu

Hivyohivyo kwa cryptocurrency na Telegram
 
Back
Top Bottom