gentleman,
huwa sibabaiki na wala sisiti kusema ukweli regardless mwingine atajiskiaje.
Tanzania hatuko na wala hatutakuja kuwako katika list ya nchi duniani, zisizozingatia haki za binadamu, kwasababu ni wadau muhimu wa mkataba wa amani wa rome. Na kwakweli Tanzania ni balozi muhimu sana wa Amani Africa Mashariki, ukanda wa maziwa makuu na Africa kwa ujumla.
Kwahiyo mtu anae bwekabweka ati Tanzania hakuna haki za kibinadamu anajaribu kuhadaa ulimwengu na dunia ambayo kwa kiasi kikubwa baada ya kujidhirisha kwamba jambo hilo ni hakuna Tanzania, kwasasa imewapuuza wanaharakati hao uchwara wanaodeka bila kuwajibika.
Infact,
Tanzania itaendelea kuzingatia misingi ya haki za binadamu na utawala bora katika kuwaletea wananchi wake maendeleo bila kujali kelele za wasiota kakuwajibika kisiasa, kijamii na kiuchumi na kuilaumu serikali.
Hilo halitaibanaisha nchi, na kwakweli kama Taifa tutaendelea kuilinda amani, Umoja na utulivu wa wananchi Tanzania kwa nguvu na gharama yoyote ile bila kujali mbambamba za mtu yeyote yule wa kudeka 🐒