Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 1,081
- 1,958
Future ya watoto wangu ipo mikononi mwangu na siyo mikononi mwa SamiaWewe umesema unampenda; maana hiyo kumpenda haifafanui kitu. Kuna wale kama wewe walisema walipiga kura kwa JK kwa sababu sura yake eti nzuri; kudadeki, wewe unachagua Rais kwa kumpenda bila sera? au kwa kumuone huruma sympathy? Upuuzi. Kwanza unaangalia je huyu ana ajenda kuhusu maisha yangu na future ya Watoto wako; tuache upuuzi huu. CCM 99.99 wanachaguana kwa kupendana ndiyo maana tupo hapa. Nchi tangu 1961 bado ipo pale pale s--thole
Niliwazaa mimi sasa Samia anahusika vipi na wanangu
Nampenda Samia sababu hana chembe chembe yoyote ya udikteta, ni mpatanishi na anapenda kushirikisha wengine kwenye maamuzi siyo kama yule aliyepita kila kitu anafanya yeye hadi kwenda kununua nyanya gengeni anaenda yeye!