Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Future ya watoto wangu ipo mikononi mwangu na siyo mikononi mwa Samia

Niliwazaa mimi sasa Samia anahusika vipi na wanangu

Nampenda Samia sababu hana chembe chembe yoyote ya udikteta, ni mpatanishi na anapenda kushirikisha wengine kwenye maamuzi siyo kama yule aliyepita kila kitu anafanya yeye hadi kwenda kununua nyanya gengeni anaenda yeye!
 
Urusi wamewahi kuhack huo Mfumo unaosema haujawahi kuwa hacked
 
HUyo haitaji kuhackiwa ni baasha ya khaki tu amtoe aliemtukana saa100
 
Huyo mama yenu mwenyewe alishakiri tu shuleni alisindikiza wenzie kidato cha nne akapiga "BASHITE" .

Ni aibu ila ndio hivyo hakuna namna Tanzania hata Kingwendu anaweza kuwa rais kama akiwa na pesa za kununua wapambe , folks are not serious at all ndio maana nikisikia kuwa huwa kuna vetting nabaki kucheka kuna siku CDF kasema kuna wahamiaji haramu kwenye nafasi nyeti.

Je walifikaje hadi huko nafasi nyeti

Samia hana ushawishi wowote ukiondoa hizi paid PR za machawa, vikampeni uchwara vya uhamasishaji, kuipa miradi majina yake ni just hot air.

Samia bila hivyo on an equal political ground hawezi kumfikia Lipumba wa 2005 kiushawishi licha ya kuwa miaka hiyo Lipumba hakukuwa na social media nyingi kama sasa..

Yaani kila mtu mama hivi mama vile utadhani wao hawana mama zao nyumbani huko.

Cc: Lucas Mbwa Wa Shamba.
Your browser is not able to display this video.
 
Walificha wapi?? Thubutu! Hizo zinajenga sasa hivi na hayo magorofa ni mianya ya mama Abdul na tozo za pesa zenu, wakati ule ufiche pesa wapi? Unajua thamani ya shillingi wewe? Mfanyabiashara gani aweke fedha yake kwenye Shilingi halafu afiche?
Wakati ule bureau de change zinavamiwa na maaskari wa usalama wa taifa na kuporwa kila kilichomo kwa kigezo cha utakatishaji ndio muda ule wenye pesa zao walipoamua kuzificha.

Lake Oil aliporwa dola milioni tatu na hayati JPM, akakasirika na kuamua kuishi Canada, Baba yake akamwambia rudi Tanzania pesa ulizotafuta kwa jasho utazipata tu. Akarudi na kwa sasa utajiri umerudi tena sawa na hapo mwanzo.
 
Nina swali hapo.
Hio kauli ulioiandika humu JF.ili kujua Bongo hamna FREEDOM OF SPEECH/ uhuru wa habari. Ukiisema hio kauli hadharani utajikuta porini katavi

Je CEO wa JF ametuhakikishia ulinzi, sio polisi wakamuhitaji mwa JF alietoa kauli fulani. Akatolewa?
 
Mfumo upi Telegram, cryptocurrency au wa kupigia kura?
Kuhack NASa wamefanikiwa
Hivi ni nani au ni taasisi gani hasa ndiyo iligundua INTERNET kwa mara ya kwanza hapa duniani?
 
Mkuu naomba nitumie maneno yako kama signature yangu?
 
Aliyeandikiwa na Mungu ameandikiwa tu, ni riziki yake urais wa JMT. Wasomi wangapi wana mashahada mengi lakini wanapopewa kazi zenye kuendana na elimu zao wanaishia kuvurunda?.
 

Mkuu naomba nitumie maneno yako kama signature yangu?
Tumia tu
 
Kiuhalisia mama huku mtaani hakubaliki ila kwasababu ni mwana CCM basi ataongoza tena miaka mingine mitano ijayo mimi kila siku nalia na katiba yetu na mfumo wetu wa uchaguzi hawa ccm wana karata chafu saana na upinzani kwa ujumla wameshindwa kucheza hii rafu dhidi ya ccm
 
nchi ina wajinga wengi shida
 
Aliyeandikiwa na Mungu ameandikiwa tu, ni riziki yake urais wa JMT. Wasomi wangapi wana mashahada mengi lakini wanapopewa kazi zenye kuendana na elimu zao wanaishia kuvurunda?.
Kuna tofauti baina ya elimu na akili ...akili ndiyo kitu cha msingi zaidi ya elimu ...ukiambiwa kati ya pesa na elimu unachagua nini basi mimi ningekuambia chagua pesa bila hata ya kupepesa macho..ila ukiambiwa kati ya pesa na akili basi bila ya kupepesa macho chagua akili...soma hata maandiko farao alimchagua yusufu tazama sababu alizo ziweka 👇


Mwanzo 41
38. Farao akawaambia watumwa wake, Tupate wapi mtu kama huyu, mwenye roho ya Mungu ndani yake?
39. Farao akamwambia Yusufu, Kwa kuwa Mungu amekufahamisha hayo yote, hapana mwenye akili na hekima kama wewe.
40. Basi wewe utakuwa juu ya nyumba yangu, na kwa neno lako watu wangu watatawaliwa. Katika kiti cha enzi tu nitakuwa mkuu kuliko wewe.
41. Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri.
42. Farao akavua pete yake ya muhuri mkononi mwake, akaitia mkononi mwa Yusufu; akamvika mavazi ya kitani nzuri, na kumtia mkufu wa dhahabu shingoni mwake.
 
Ni mawazo yale yale ya akili za kushindwa zenye kuwazia mabaya muda wote.

Muwe mnafika huko mikoani ili muweze kuiona hali halisi kwa sasa ipo vipi, huko ndio wamejaa wapiga kura wanaowapa ridhaa na jukumu la urais hawa marais.
 
Akili zako zinasaidia nini ikiwa hauwezi kuwa kiongozi anayesimamia ujenzi wa mamia ya viwanda huko mikoani?.

Akili zako ni sifa za kinadharia tu ambazo zinakusaidia katika kuomba kazi. Samia anajua kuishi na hao wenye elimu kwa ukaribu zaidi.

SSH anajua kuwatumia hao wenye elimu kwa manufaa ya TZ, nyinyi bakini na hizo akili zenu wakati Nchi inaendelea kufunguka na wajanja wanaendelea kutajirika.
 
We endelea kufurahia hongo za buku7 Lumumba
binafsi sina haja ya kufurahishwa na chochote kutoka kwa yeyote..

Ile furaha niko nayo ni hawa wananchi wanapata mahitaji yao ya muhimu na kufanya shughuli zao za maendeleo kwa umoja, amani, utulivu na usalama wa uhakika.

Na hapa nimpongeze sana kiongozi wetu wa taifa na kipenzi cha waTanzania Dr. Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji wa kutosha kwenye huduma za kijamii, kisiasa na kiuchumi kwa waTanzania wote 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…