Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia


..mimi na wewe tumepishana na kulingana ktk hoja nyingi, lakini ktk hoja yako hii nakubaliana na wewe 100%.

..Samia Suluhu ha-fit ktk nafasi ya Raisi wa Tanzania.

..Kiwango chake cha uelewa, wa nchi, dunia, uchumi, katiba,sheria, diplomasia, uchumi, siasa, demokrasia, historia,ni kidogo mno kuweza kuongoza Tanzania.
 

..waliompa nafasi ya Umakamu walilenga kuwarubuni wanawake waipigie kura Ccm. Hawakuwahi kumfikiria Samia kuwa atakuja kuwa Raisi wa muungano, au Zanzibar.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Mwandishi mmoja aliwahi kusema usipompenda Raisi wa nchi yako basi utaishi kama mkimbizi kwa miaka yake yote atakapokuwa madarakani, Bahati mbaya zaidi anaweza fauatia Raisi usiyempenda pia ukaongeza miaka ya ukimbizi ndani ya nchi yako ikawa around 20yrs

Ubaya wa jambo hili ni kwamba as an individual huna chochote cha kufanya zaidi ya kulalamika kwa sababu kuna watu wengine wanampenda na wana haki ya kumpenda.
 
Mwaka wa 3 anatawala, nchi inakwenda, uchumi unakuwa, utulivu upo. Ni akili yako ndiyo ina shida
 
..Tanzania ingefanya vizuri zaidi kama tungekuwa na Raisi mwenye uwezo kuliko Samia Suluhu.
Samia is the best. Hangaika na maisha ya familia yako tu achana na nchi yetu iko mikono salama.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Woman are too emotional that why we never insist them into the first place
 
Waanzilishi wake ni wengi. Maana kila genertion mtu huitoa kuok awamu fulani hadi nyingine. Hizi nyingine ni programu tu.internet yenyew imesambaa dunia kwa njia ya wire
Endelea kusoma...

Hakuna waanzilishi wengi wa internet
 
Mkuu unaomba vitu ambavyo vipo kwenye google, punguza huyo ujeuri na utoto pia.

Samia ni Rais keshaingia kwenye kumbukumbu za marais wa Tanzania. Wewe mwenye kujigamba una elimu kumzidi unatumia ID feki ya Jamiiforum!.

Daraja la kigongo busisi linamalizika muda huu ni kazi ya Samia.

SGR imebakiza kipande cha Dodoma/Mwanza ni kazi ya JPM/Samia.

Kigoma imekuwa karibu na pande za nchi zilizobakia, miundo mbinu ya barabara imeufungua mkoa huo.

TAZARA Inakwenda kufufuliwa upya ni kazi ya Rais wa China na Samia.

Bandari ya Dar inao wawekezaji wawili wakubwa, DPW na Adani wanafanya kazi kisasa na tija inaongezeka kila kukicha.

Tembelea mkoa wa Pwani utakutana na viwanda vingi vipya vipo kazini ni kazi ya Samia na Magufuli ya kuifungua nchi.

Yapo mengi mno yanafanyika tafuta nyuzi zenye kuhusiana na masuala ya nchi kufunguka zimo humu kundini.

Huyo huyo unayemsema kwamba hana elimu anaifungua Tanzania kwa mapana yake. Miradi mipya 1699 imeanzishwa katika kipindi cha awamu ya sita chini ya uongozi wake.

Wivu na roho mbaya vitaendelea kuitesa nafsi yako.
 
Hawa wajinga wanaendeshwa na chuki na ubaguzi tu, lakini Samia is the real deal
 
Hawa wajinga wanaendeshwa na chuki na ubaguzi tu, lakini Samia is the real deal
Maumivu ya moyo yanapodumu mwilini mwa mtu yanaishia kumletea matatizo ya presha na stroke.

Wanaishia kulazwa Muhimbili na kusumbua ndugu zao katika kipindi chote cha matibabu yao.

Samia anafanya kazi ya maana sana lakini wajinga wachache wanakuja na mada za kipuuzi tu zenye kujadili elimu yake kana kwamba wao huo uprofesa wao umewasaidia chochote.

Hapo magomeni panakwenda kujengwa daraja la kisasa na huo usumbufu utabakia historia, sawa na pale BP karibu na Bandarini palivyojengwa bonge la daraja pamebadilika sana.
 
inabidi umuulize Kikwete ! Inasemekana yeye ndiye alitaka iwe hivyo ! Kwa sababu yeye ndiye aliyekuwa Rais kipindi hicho na ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wenu !!

Lakini kwanini hamtaki Katiba mpya bora ipatikane ???!!

Mnalalamikia mambo mengi madogo madogo lakini mkigusiwa Katiba mpya Mnasemaga haina umuhimu πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚

Rais Samia yupo sana tu !
Mpaka sasa hajafanya jambo lolote baya la kuvunja Katiba !

Ni Ubaguzi tu ndio unaowasumbua watu ndani ya Ccm kwenyewe !

Mama yupo sana tu mpaka 2030 !
Katiba mpya bora ni muhimu sana !!
 
Endelea kusoma...

Hakuna waanzilishi wengi wa internet
NJoo tusome wote

NI protocol na process ya muda mrefu na inayochukua muda ili kubadilika kuendana na technolojia inavyokua
Hivi karibuni tuna amia WEB 3 karbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…