Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Mimi bora nisiwe msaidizi wake kwa nafasi yoyote ya uwaziri au IKULU.

Sasa naongea nini mtu ambae uwezo wake ni zero.
Sikuwahi kuajiriwa lakini nina miezi minne kwenye ajira kwa sasa
ambapo nipo chini ya watu wenye akili ndogo sana inaboa sana hii
Nakuelewa unavyosema hivyo
hapa mara nyingi nafikiria kuacha lakini najitahidi kukomaa mpaka februari kwa kuwa kimshahara kinabust biashara zangu sina jinsi kufanya kazi na hawa watu ni kazi sana

Tumuweke nani sasa awe rais
 
Sijaona mahali umejibu swali langu la miundombinu 10 ya kimkakati uliyosema amejenga Samia katika miaka yake 3.

Hivyo sioni sababu ya kuendelea kufanya mjadala na wewe.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi tunamtegemea muda ukifika atoe mchango wake nchi ipate rais aina ya John Pombe Magufuli kwa sababu mtu huyo sio yeye. Taifa linahitaji kiongozi mwenye ujasiri asiye muoga. Mchapa kazi asiyechoka, mtu mpenda haki na usawa na asiye mbinafsi. Mtu mzalendo mwenye maono na maarifa tele. Akifanya hivyo atakua amelitendea taifa jambo jema sana na tutamkumbuka kwa heshima kubwa.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Mbona umeandika Maneno machache hivi.
Hayatoshi kuonesha ni Cha kweli unachokisema?
Ni malalamiko , ila hayasikiki , haijulikani unalalamikia sekta Gani?
Lalamika upya.🥱
 
Ikiwa macho Yako yanaona sawa sawa,

Huwezi jiuliza mara mbili ikiwa atagombea au HATOGOMBEA!
 
Wanamapinduzi ndani ya chama cha mapinduzi tunamtegemea muda ukifika atoe mchango wake nchi ipate rais aina ya John Pombe Magufuli kwa sababu mtu huyo sio yeye.
Takataka aina ya Magufuli haitakuja tokea tena. Mungu mwenyewe aliamua kutusaidia kuiokoa nchi yetu isiharibike mazima.

Miaka 2015-21 lilikuwa ni tanuri la moto. Bila Mungu kuingilia kati leo hii Tanzania ingekuwa inakaribia Zimbabwe kiuchumi ma Yemen au Somalia kijamii na kiusalama
 
Umemwambia ahangaike na maisha yake awaachie nchi.

Unaandika ukiwa ufikirii au? Mimi nimekupangia nini?
Wewe umenipangia kuwa nisimkosoe, unaninyima uhuru wa kutoa maoni yangu unaotambulika kikatiba
 
Angefaa kuwa nwenyekiti wa kitongoji au hata huko hapamfai?
 
Jeshi la Marekani ndiyo wenye hii internet

Hakuna siri yoyote kwenye internet ndiyo maana mpaka leo baadhi ya document huko usalama wa Taifa haziwezi kuwasilishwa kwa simu wala computer zaidi ya pen na karatasi
Ungekuwa umesoma Coding na Cybersecurity ungeelewa.
Kuna site hata hacker haiingii security hua ni kubwa
 
Mtu anayechapa kazi bila kuchoka hafai kuwa Kiongozi

Baada ya kazi ni mhimu kuchoka na kutenga muda wa kupumzika na kupata nguvu mpya

Mtu anayefanya kazi masaa yote bila kuchoka ata-burnout na mwisho wa siku atafanya vituko
 
Ungekuwa umesoma Coding na Cybersecurity ungeelewa.
Kuna site hata hacker haiingii security hua ni kubwa
Sasa una uhakika gani kama sijasoma code au cybersecurity?

Na bado hizo code na cybersecurity kwangu ni Upuuzi tu na kupoteza muda

Narudia tena site yoyote, app yoyote, system yoyote ikihitajika kudunguliwa itadunguliwa tu bila kujali ni ya nani au ya taasisi gani

Ulinzi mkuu kwenye hizo mambo huwa ni backup tu siyo code
 
Kama umesoma Coding kuna dollar 10000 zimewekwa kwa atakae dungua Telegram akampat anae sambaz picha za faragha za kigogo fulani
Tuko hapa tunahangaikia hio tenda na wanigeria kwa vile una uwezo wa coding njoo ujiiunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…