Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

🙋‍♂️✍️🎯🤝🙏
 
Kosa kubwa tutakalo fanya ni hio 2025-2030.
Tulipo leo ni kosa lakini kosa lina kuwa kosa na kuleta madhara linaporudiwa
 
🎯🤝
 
😳🤓🤓
 
Kosa kubwa tutakalo fanya ni hio 2025-2030.
Tulipo leo ni kosa lakini kosa lina kuwa kosa na kuleta madhara linaporudiwa
Kubadilisha hilo linataka raisi atakae force hayo mabadiliko na civil servants ambao watamuunga mkono.

Sio kila kitu kibaya kulikuwa na watu huko kwenye civil services ambao walikuwa wanaichukulia succession planning very serious. Wakurugenzi wengi wa wizara ukiwasikiliza Tanzania sio watu wa mzaha-mzaha ni very technical.

Shida ni promotion kwenda mbele baada ya hapo raisi ndio ana amua. Things have to change kutoka zama za Nyerere.
 
Firefox si ndio Samia mwenyewe hapa kitalani? 😳
 
Firefox si ndio Samia mwenyewe hapa kitalani? 😳
Haa wapi kiongozi, hao ni mabibi wawili tofauti. Mmoja yupo Ikulu anakunywa kahawa huku akitafuna kashata za nazi wakati akipepewa na walinzi wake hata umeme ukikatika. Mwingine yupo Canada sasa hivi anatafuna mirungi na kuvuta sifara handass zake analeta JF
 
Nakazia na kukubaliana nawe kwa 100% ... Kwa nini tufanye uchaguzi mkuu sasa wakati tunatakiwa kuandika katiba mpya? Kwa nini tusitumie mwanya huu kuamua juu ya muundo wa Muungano? ... Kwa nini hatuoni umuhimu wa kuirudisha Tanganyika kwenye nafasi yake tena makao yake yawe Dodoma? 🤔
 
Salaleh lakini hawa ‘moderators’ wa JF wachonganishi sijapata kuona.

Kichwa cha habari ya mada yangu kilisema ‘Tafakuri’ maana yake ni mtazamo tu (aina mtoa mada, yupo sahihi).

Sasa nashangaa hii title ya kumdharau raisi wa Tanzania na amiri jeshi mkuu (imetokea wapi).

Salaleh leo ndio nimeamini mods wa JF ni wachonganishi.

Tafadhalini sana moderators, tusiwekeane maneno ambayo watu atujaweka kwenye vichwa vya habari.
 
Nakuelewa sana... Yaani hapo unapomuona kuna wengi tu anawazidi kwa huo uwezo dhaifu alionao!
"If politicians are such unintelligent, brainless, witless, inept and inane examine the state of the local communities".
 
Kabisa simsikilizagi
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Sema mume wako anataka kila mara umpe, utapata wapi muda!
 
😂😅😂
Ndugu kwa hawa wanaochukulia vitu serious ’is not what you said, but how you said it.

Sasa kwanini mod abadilli kichwa cha habari kutoka kusema ‘tafakuri’ ikiwa na maana ys msamiati usio na shida hadi kuweka maneno yake kama sio ‘ramli chonganishi’ ni nini?

Si ndio wanga wenyewe huo..

Anyway ngoja nilale kwanza 👋
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…