Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Kwa sababu huna akili. Siku ukiwa na akili utamsikiliza huyu transformer wa uchumi uliohalibiwa na mwendazake
 
MAZUNGUMZO KWENYE HUU UZI YAKISHONWA VIZURI YATAJENGEA UWEZO WANAJAMII WANAOJITAFUTA KATIKA UKWELI WA MAMBO

Wanajamii, kwa uwingi wao, bado hawajajijenga kimawazo na mafikara ili 'washike barabara' hatamu za maendeleo ya kweli ya UTU na vitu.

Mzee George Ayittey amepata kusema: Demokrasia ya Magharibi, ilivyo ni Taasisi, ni Anasa ambayo jamii ya Waafrika hawawezi kuimudu gharama yake... Hili ni shauri lililo ni mbegu ya U-JUA-JI kuhusiana na taasisi na mifumo.


View: https://www.youtube.com/watch?v=MgbSDcd8J88
Ikiwa humu katika jukwaa hili tutaongeza nuru ya kuzungumza kuhusu 'Taasisi' na 'Utaasisi' basi mwangaza bora utaimulikia jamii yetu na basi hii kuja kuondekana na unaivu wa kimifumo.

Sasa, jamii ya watanzania walio wengi, wanaweza 'kulalama' kuhusu mengi -- mengi kuhusu utawala na maendeleo na kumbe hawana misingi fasaha ya ukweli wa mambo ya jamii na maendeleo. Kwa mfano, hata amani ya nchi inamizizi ya jitahada za wale wale wanaokosolewa labda kana kwamba 'hawajui walitendalo'.

Siasa pasipo mapana sahihi ya uono na ufikirifu mifumo ni 'sarakasi na mkate' kwa 'umma unaojitafuta'.

Kila mwanajamii anahitaji kutambua na kujitambua, kadiri ilivyobora, asili ya utaifa na unchi-dola wa mazingira yake ya utamaduni na ustawi. Hili kiufundi, linaleta chachu ya uzalendo wa kweli na kujitoa kwa moyo wote kuijenga na kuilinda nchi--kadiri ya vipawa, uwezo na mazingira wezeshi ya kiutendaji.

Katika sura ya uadilifu, kila mwanajamii ni 'jeshi la kujenga taifa' na pia ni 'jeshi la ulinzi' kwa utamaduni na ustawi wa jamii yake. Namna yeyote inayowafanya wanajamii wajigawanye kwa misingi ya 'majukumu' yao, ama tuseme kada zao ndipo kwenye 'mzizi wa fitina' ya ndani kwa ndani ya ustawi wa kweli wa jamii.

Labda kujifunza asili ya matatizo ya sura za nchi na tawala kwa muktadha wa 'Jeshi la Ulinzi' ama 'Serikali ya kiraia' vinaweza kuleta chachu ya kubaini adui mkubwa wa maendeleo ya UTU na jamii ni ukosefu wa utashi bora wa kiroho miongoni mwa wanajamii. Tukilifahamu hili kwa kina, basi linatuwajibisha sisi sote--tutie mkazo mkubwa kwenye kuitambua na kuiishi misingi ya kiroho ya taifa na utu wake...

Hata amani ya taifa ya Tanzania haielei tu--imeundwa! Kazi hii hainabudi kushughulisha wote kwa ajili ya kusudi la UTU BORA na UJAMAA.

Kuzungumzia Ujamaa, Mwalimu Nyerere alilizungumza hili bayana tu; ni wajibu wetu sisi watu wa Tanzania kubaini namna sahihi za kuenendana na makusudi ya 'ushawishi ndani ya ushawishi mwingine'--hata kwa ufundi usiyokamilifu wa 'Demokrasia/Domoghasia'...​
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
mbona unashambulia bila hoja ya msingi...
 
Mkuu waweza kuwa sawa au sio sawa ila kiongozi hupatikana kutokana na mfumo uliopo wa kutambua vipaji.

Kunakuwa na shule maalum na baadae vyuo maalum hadi kiongozi sahihi apatikana.

Mfumo huo pia waweza kuwa "compromised" na kukapatikana watu ambao hawana sifa za kuongoza.
 
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa
Njooni leo hapa lazima myakanyage,njooni mjibu hoja

Ova
Nimeshaeleza jambo hili kwa kina gentleman,

kwanza nimefurahia sana na kwakweli nimepongeza uamuzi na hatua alizochukua huyo kijana, mathalani hiyo ya kuamua kutokuskiza watu na kuamua kujikita kwenye kilimo, sekta ambayo Dr.Samia suluhu Hassan amefanya mageuzi na mapinduzi ya maana sana, na kufanya mazingira ya kilimo kua kimbilio la vijana kama huyo..

na nimuhakikishie tu, atatoboa maisha sana huko Asibabaike na maneno ya watu.

serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan ataendelea kua kuchochea cha vijana wengi nchini kufikia ndoto na matarajio yao ya maisha.🐒

Mungu ibariki Tanzania 🌹
 
Kilimo mnalima nyie kwa maneno
Haha au mnawalimisha wenzenu kwa meno
Nyie mnajulikana mnaishi kwa tantalila 😄

Ova
 
Kilimo mnalima nyie kwa maneno
Haha au mnawalimisha wenzenu kwa meno
Nyie mnajulikana mnaishi kwa tantalila 😄

Ova
kijana kachukua uamuzi mgumu kuachana na maneno ya watu na kuamua kwenda kulima, wewe unambeza gentleman, why lakini aise?

kwahiyo unaona hayo ni maamuzi ya mchezo mchezo? unadhani kwanini hakusema bora akapige debe au kufanya kazi za saidia fundi akaamua bora akalime?🐒
 
Umekuwa ukitumia neno mapinduzi makubwa ya kilimo au "agriculture revolution".

Mapinduzi makubwa ya kilimo ni mabadiliko ya kimkakati katika kilimo na ni muhimu yaani "significant" katika njia mpya au invetion, ugunduzi mpya au discoveries, au matumizi ya teknolojia mpya njia ambazo zitabadili na kuongeza uzalishaji na kiwango cha uzalishaji.

Je, mapinduzi hayo yapo kwenye ngazi zipi uzalishaji au teknolojia, uzalishaji mbegu, teknoljia mpya katika uzalishaji mbegu bora za mazao au maeneo yapi?

Tupatie Case studies au success stories za watu kutoka kwenye kilimo ndani ya miaka 10 ilopita ambao ni wapya si watu walewale?

Ukizungumza mapunduzi ya kilimo uwe tayari kufafanua.

Si tu kusema kisiasa kwamba watu wapewa mapesa wayatupe kwenye kilimo.

Tusizungumze tu neno mapinduzi makubwa ya kilimo kisiasa wakati bado kuna changamoto kubwa khasa uzalishaji wa mazao kama miwa.
 
 

Attachments

  • 5744975-8bcb85f1807b40dfe9b1bdf5a6eabbb0.jpg
    8 KB · Views: 2
CCM ndio chama

Hiyo ni nyuzi yako tena ukamsifia Samia kabisa.
 
Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza raisi Samia.

Bora nikalime huko, kuliko kupokea orders kutoka kwake.

Hana uwezo hata chembe.

That says a lot ueledi wa civil services,

It’s a shitty county (ndio uhalisia).
Fanya hivi… nenda katukane ikulu halafu ndo utajua kwamba ana uwezo ama hana yaani utashenyentwa bila hata kumuona huyo samia
 
Hapo ndio nimekuelewa level za watumishi wengi wa umma ni incompetent
 
Kwa nini alimteua tena 2020??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…