Mimi mkataa ndoa naangamia rohoni: Nishaurini ili nipone

Kwamba walioacha kazi wote walijichanganya?

#YNWA
Nawajua watu wengi walioacha kaz wakajiajir na wakafanikiwa mkuu.

Kufanya kaz usoipenda si nziri kiafya.

Umesema unataka uhuru na unapenda uwe kwa biashara yako 24 hrs.Kwa sababu hizi nakuunga mkono wazo lako la kuacha kazi ILA jipange sana kabla ya kiacha mkuu.Pambania kwanza uhamisho.

Mwisho siwaelewi nyie WAKATAA NDOA ila usiwasikilize wanaokushauri kuoa ili mke asimamie hilo duka.Ndoa ya msingi huo itakua mateso kwa huyo utakayemuoa.

Kila la kheri mkuu.
 
Ungekuwa mzalendo ungepambana kuzirudisha 1.5Triliiliiiiiiiiiiiion na hapo kati Kuna 7.5B wewe unataka tufanye kazi km punda huku nyie mkitanua kwenye V8.... Walioshika mpini hawataki mifumo imara Ili waendelee kupiga .... Boss wangu nishamwambia muda wa kazi ukiisha tusisumbuane we have family to feed
Muda wa kazi ukiiisha.... Note that si vinginevyo
 
Mkuu kwani wewe ni wa kwanza kuacha kazi?
Uliwahi sikia mtu aliondokana na utumwa wa ajila akawa na maisha magumu?
Miezi saba nje uliishi kwa njaa?

Pata ushauri kwa fundi kiyosaki wengine hatujui kushauri vizuri.

Ukimaliza nicheck nikupe mzigo wa tajiri wa babylon
Mzee ww ndo unampoteza kabisa hizo story za baba tajiri baba masikini zitamfanya ajute maisha yake yote.
 
Kifupi biashara yangu huzalisha faida ya 40,000 na zaidi Kwa siku.

#YNWA
Bado sio margin nzuri kwa maoni yangu. Faida ya 40k per day kwa maisha ya sasa bado ni ya kawaida sana, walau iwe mara mbili yake ndio naweza kusema youre good to go, risks za biashara pia ni kubwa. Endelea kukuza biashara yako huku ukiendelea kufanya kazi, tafuta uhamisho, punguza ego kwa bosi wako ili upate unachokitaka.

Mwisho, haya mashauri ungekuwa na mama watoto mngeyamaliza wawili tu tena kwa muafaka mkubwa huku ukipewa happy ending, endelea kukataa ndoa tu!!
 
Utakuja kulia hapa hapa jf ukiacha hyo kazi.
Fungua biashara nyingine dar uniajiri nipige kazi ila kazi usiache.
 
Usiache kazi, endelea na kazi pia fanya baiashara ambayo usimaizi wake ni rahisi hata kama haupo kwenye hiyo biashara masaa yote.

Itengenezee mfumo mzuri wa usimamizi hiyo biashara yako , ijiendeshe!

Kujiajiri kwa watu wenye mitaji midogo wengi wana struggle sana,

fikiri ukipata changamoto /hasara kubwa kama ujammbazi/wizi/ moto kwenye hiyo biashara yako.. una backup ya kukuinuwa ukasonga mbele kwa muda stahiki..?

Kama unataka kufanya biashara basi hakikisha , hiyo biashara inakupa kipato mara mbili ya mshahara uliouacha kazini.

Tofauti na hapo tegemea maumivu, utatoboa lakini kwa maumivu sana..
 
Mkuu kuna maswali ukitaka upate majibu yake kutoka kwa jamii ambayo asilimia kubwa ni either watumwa wa ajira au wa wanatamani kua kwenye huo utumwa huwezi ukapata majibu ya kile moyo wako unataka. As long as kiu yako kuu ni freedom basi ajira kwako sio option lakini zingatio ujapo kwenye biashara miguu yote ukubali kujitumikisha kweli kweli na kukubali kukosa huo uhuru kwa muda kutokana na stresses za biashara. Miezi 7 ni michache sana kujihakikishia utam wa biashara hasa ukizingatia biashara muzianzishazo wafanyakazi zinatokana na hela ambayo siyo ya jasho kiivo tofauti na mjasiliamali alieanza from the scratch, in short kuna process (price for success) nyingi ambazo unakua umeziruka and you must pay them ahead and they are there to shape and strengthen you to became strong mentally and emotionally kwa sababu personalities za mfanyabiashara na mwajiriwa ziko tofauti kabisa. Kama uko tayari kukabiliana na changamoto za biashara karibu (and its possible kwa aliye na nia na pia ni kutam sana ukikuweza na hasa ukijifunza kuenjoy ups and downs zake) ila kama utakua umehadaika na mafanikio ya miezi 7 tu ya biashara au na mkopo uliochukua nakushauri baki tu kazini kwa sababu stages za mwanzo wa biashara kupoteza hivo vyote vinavyokuhadaisha ni jambo la kawaida sana you have to be fit enough kuweza kucome back again. Mazingira yako yalikuaga km yangu utofauti ni kwamba sikuomba ushauri kwa yoyote kwa sababu wote walikua against wazo la kuacha kazi but I decided it na sasa ni mwaka wa6 sijawahi kujuta though miaka mi3 ya mwanzo it was the toughest moments ever in my life kutoka kua mwenye kazi yenye mshahara+viposho vya hapa na pale hadi kufikia hatua ya kusaka vibarua kwa siku ili ufund biashara, na mbaya zaidi ukiacha kazi upatapo changamoto no one cares about you wakidai ulijitakia. Fuata moyo wako hasa ktk maamuzi yanayoinvolve maisha. Take a calculated risk, mfano jenga hata vijumba/vifrem vya kupata walau chochote ili familia isije ikaadhirika unapoikua kwenye hardship moments kwa sababu hazikwepeki
 
GREETINGS.
Haloo wananchi wote wa JF, hamjambo?

Baada ya salamu twende kwenye mada.

INTRODUCTION:
Mimi ni mtumishi wa umma niliye ajiriwa 2012 na fani x (diploma) kwa level za kata (Afisa wa katani @ SIO MTENDAJI KATA).

2013 nikaenda chuo na kurudi 2018 na masters (niliunga) ya fani y.

Nikiwa na furaha na niite bahati, kurudi tu kazini nikapewa ofisi ya fani y, yaani nilimaliza chuo na kurudi kazini November 2018 na January 2019 nikahamishiwa halmashauri.

Niite bahati kwasababu, imekua ngumu kwa watumishi wengi kutoka Shule tu na ofisi zao za Utumishi wakawabadilishia Kazi zao (rectegorization au kuwahamishia kwenye vitengo walivyosomea).

Nilifanya Kazi kwa furaha na juhudi sana na 2019 nikapokea barua ya kubadilishiwa muundo (recategorization).

Niliona zile ndoto zangu za kuwa mkubwa kama zinaanza kutimia hivi na nilifanya Kazi kwa juhudi sana.

Fani y ndio niliyokuwa naipenda.

Fani x nilisomea tu kwa vile nilikuwa yatima na nilikosaga ada ya kusomea fani y miaka hiyo.

Ila hiyo fani x ndio iliniingiza serikalini.

SCENARIO:
2020 likatokea jambo kazini, mara TAKUKURU hao, mara CAG huyo, mara kamati ya kutuchunguza hiyo, mara usalama wa taifa huo.

Kifupi vitu vilikuwa vingi, ila iliamriwa tusimamishwe Kazi.

Tukiwa tumesimamishwa Kazi niliamua kufungua biashara.

Baada tu ya kusimamishwa Kazi nilitumia wiki 2 kutafuta frame na kuanza biashara.

Baada ya miezi 7 nikarudishwa kazini na mambo yakaendelea.

Ila biashara yangu ilikuwa ya moto sanaa (inauza sanaa).

PROBLEM
Baada ya kurudi kazini Kuna mambo nikaona yamebadilika.

1. Upendo na ile Kazi ukapoteaaa kabisaa

2. Nilikuwa mtoro balaa mpaka Mkurugenzi aliandika barua kwenda Utumishi ya Mimi kuvuliwa madaraka na kupewa mwengine.

Yaani aliyekuwa kijana wangu wa chini sasa hivi ni boss wangu.

3. Kuona hii ajira siipendi Tena, nikaona nitafute uhamisho, changamoto sasa, Mkurugenzi kagoma kabisaa kusaini barua zangu za kuniruhusu nikatafute post kwengine.

Anasemaga "bado nakuhitaji sanaa na siwezi kukuruhusu uondoke"

4. Nakiri; kunivua madaraka hata sijamlaumu, kiukweli kabisa nimekuwa mtoro balaa, siipendi Kazi Tena (kwasasa napenda sanaa biashara yangu na wanangu).

5. Yaani kazini naweza pitisha wiki sijasaini daftari la mahudhurio maana naingia saa 3 au 4 asubuhi na "ole wako uniulize lolote juu ya hilo..!!""

6. Yaani kwasasa siipendi Tena hii halmashauri, siipendi Tena hii Kazi (niliyokuwa naiwaza kuifanya miaka hiyo), kifupi HII OFISI NA KAZI YA SERIKALI SIVIPENDI KABISAAA.

BIG PROBLEM
Kuona nawaze kujiharibia future kazini nikaona nishirikishe wakubwa.

Hao wakubwa nao wamenipa ushauri ambao HATA SIJAUKUBALI.

Ninachonipa "Huu ukichaa wa kutopenda Kazi" ni kwamba NAHITAJI KUWA HURU.

Nahitaji kuwa kwenye biashara zangu masaa 24,
Nataka chochote kinachotokea kwenye biashara nikione, KIFUPI BIASHARA IMENIMEZAA HASAA yaani ROHONI na NAFSINI NAWAZA BIASHARA ZANGU.

Naweza kuwa ofisini kuanzia asubuhi mpaka jioni ila nikaishia ku-google na kusoma mambo ya biashara hiyo, nikaishia kupiga simu dukani na Kwa wateja badala nifanye Kazi za watu..!!!

Ushauri..
1. Shangazi yangu aliniambia "NIOE" halafu mke ndio asimamie halafu Mimi niendelee kupambana na ajira.
HUU USHAURI NILIGOMA KABISAAA

2. Boss mmoja, aliniambia nitafute uhamisho ili niwe karibu na biashara yangu.
Nikaona hili wazo ni sahihi, kwa maana biashara yangu ipo mkoa wa jirani na niliko.
Ila sasa tokea 2021 nianze harakati za kuhama basi Mkurugenzi kagoma kabisaaa kunisainia barua ya uhamisho ili nikatafute post kwengine (mkoa ilipo biashara yangu), hili swala LIMEFANYA NIMCHUKIE KABISA.

Nikawaza kuacha Kazi.

Nina watoto wawili mmoja darasa la 3 mwengine la 2.
Hawa watoto nawaelewa sanaa, nawasomesha Shule ada Mil 2.7 *2 (Mil 5.4, WANASOMA SHULE MOJA).

Wapo Dar kwa mama zao (kila mmoja na mama ake), ila tunawasiliana kila siku.

Nahitaji kuhama niende kwenye biashara zangu halafu niwavute wanangu ili niishi nao.
NAWAPENDA SANAA WANANGU.

Nawaza kuacha Kazi ili nikakomae na biashara yangu.

CONCLUSION.
Sina wazo la kuoa na wala sitaki kuoa, hivyo sihitaji kuwa na mtu wa kusimamia biashara sijui kunisaidia kulea.

Nikiangalia Kazini napata hela na biashara napata pesa.

Kwahiyo nipo dilema, nikisema niache Kazi Kuna pesa itapwaya tu kwenye maisha yangu, sasa naona kama duka litahelemewa na majukumu.

NIA YA KUACHA KAZI NINAYO, ILA SABABU SINA.

Ukicheki nilisoma sanaa kwasababu ya hii Kazi ila SIIPENDI TENA.

Mpaka muda mwengine nawaza KWANINI SASA NALISOMA SANAAA HIVI?

Ushauri wenu na MSAADA WENU MUHIMU SANAA.

Asanteni.

#YNWA

1. Usiache kazi.
2. Endelea na biashara zako ukiwa kazini.
3. Tafuta Recruitment agency ikutafutie MTU wa kuendesha biashara yako.
4. Kama hujapata wakuoa, usioe. Mwanamke ni mzuri ikiwa anakupenda na unamuda naye. Kama unajijua huna muda wakutosha kwaajili Yao. Usioe.

5. Hiyo ni Hali ya kawaida inayotokea katika kila kazi utakayoifanya.
Hata hiyo biashara uliyoianzisha kuna siku utahisi kama uachane nayo,
Hivyo usiache kazi ukiwa katika State hiyo

6. Biashara yako ikishakuwa na uwezo wa kuingiza angalau milioni 100 Kwa Mwaka unaweza Acha kazi.

7. Watoto wako bado ni wadogo, hivyo Subiri wasogee angalau wamalize chuo.
Kufanya biashara kwenye mataifa ya Afrika ni hatari na muda wowote unaweza Kufa Kwa presha.
 
Mwambie huyu jamaa.
anakaza shibgo sana...

aniulize niliacha kazi kisa kamtaji kamenona siku nimeshaacha tu na kurudi kwenye kibarua changu mwezi mrefu mbona,,,,,,, aisee ilifika ndani ya biashara yangu nakaaa mpk unasinzia nzi ndo rafiki zangu,,, kurudi haiwezekani kuhama eneo haiwezekani hapo nilishalipia kodi mwaka mzima,,, mbona nilipata matangazo mengi ya kasafishe nyota😂😂😂😂 mwisho wa siku niliona ni utumwa nikaeka mdogo wangu asimamie nikarudi kutafta kazi sekta binafs nikapata afisa mikopo vitawi vidogo km brac changamoto za kukejeliwa mtaani kutoka ofisi serikalin kuja kuchukua maden kwenye mikeka ba wote wanajua historia yangu huo mtaa nililamba zarau😂😂😂 mpk kukaa sawa kwenye reli nililamba zarau za kutosha hazizidi zile nilizokuwa nazo wakati naacha kazi😂😂😂.. ajabu kule kibarua changu nako kukaanza kunukia nilifanya km vile sipajui sikushoboka nako tena nilikuwa mwaminifu kazin nikawaza tu nichukue mkopo nianze kufanya uwakala ndan ya kakibarua changu nikapiga kazi nikapata eneo la karibu na chuo nikafungua kantin vitafunwa napika mwenyewe pakachangamka kote kule kwa kwanza na huku kwa pili sikutamani kuacha kaz na sikujeurika corona ilipokujakantin likafungwanikabaki na kule jwa kwanza nako kulidoda kazin watu wanafukuzwa ilifika mda bos anatupa nshahara baada ya miez 2 au nusunusu watu walikimbia ila mimi niligoma mpaka hali mbaya ya kiofis kutamani kufunga nipo nao tu wakasitisha kukopesha ikabaki kufata mikopo tu ili wafunge ofis mikopo nilipomaliza kuikusanya tukapewa rikizo tutaarifiwa jwenye sim siku ya kurudi japo hali ilikuwa mbaya kuke kibarua changu cha kwanza hakihawahi kudoda,,, hali ya corona ilipojata nikaitwa and this time sikuwa mtu wa kuzurula ni ndani na kiyoyozi kuwa interview watu kiufupi nilikuwa bosi HR😂😂😂 bosi alikuwa ananiomba ushauri kila kitu nikajikuta mi ndo bosi sasa ila nna nizamu😄..
mpaka sasa likifika swala la KAZI 🙌
 
GREETINGS.
Haloo wananchi wote wa JF, hamjambo?

Baada ya salamu twende kwenye mada.

INTRODUCTION:
Mimi ni mtumishi wa umma niliye ajiriwa 2012 na fani x (diploma) kwa level za kata (Afisa wa katani @ SIO MTENDAJI KATA).

2013 nikaenda chuo na kurudi 2018 na masters (niliunga) ya fani y.

Nikiwa na furaha na niite bahati, kurudi tu kazini nikapewa ofisi ya fani y, yaani nilimaliza chuo na kurudi kazini November 2018 na January 2019 nikahamishiwa halmashauri.

Niite bahati kwasababu, imekua ngumu kwa watumishi wengi kutoka Shule tu na ofisi zao za Utumishi wakawabadilishia Kazi zao (rectegorization au kuwahamishia kwenye vitengo walivyosomea).

Nilifanya Kazi kwa furaha na juhudi sana na 2019 nikapokea barua ya kubadilishiwa muundo (recategorization).

Niliona zile ndoto zangu za kuwa mkubwa kama zinaanza kutimia hivi na nilifanya Kazi kwa juhudi sana.

Fani y ndio niliyokuwa naipenda.

Fani x nilisomea tu kwa vile nilikuwa yatima na nilikosaga ada ya kusomea fani y miaka hiyo.

Ila hiyo fani x ndio iliniingiza serikalini.

SCENARIO:
2020 likatokea jambo kazini, mara TAKUKURU hao, mara CAG huyo, mara kamati ya kutuchunguza hiyo, mara usalama wa taifa huo.

Kifupi vitu vilikuwa vingi, ila iliamriwa tusimamishwe Kazi.

Tukiwa tumesimamishwa Kazi niliamua kufungua biashara.

Baada tu ya kusimamishwa Kazi nilitumia wiki 2 kutafuta frame na kuanza biashara.

Baada ya miezi 7 nikarudishwa kazini na mambo yakaendelea.

Ila biashara yangu ilikuwa ya moto sanaa (inauza sanaa).

PROBLEM
Baada ya kurudi kazini Kuna mambo nikaona yamebadilika.

1. Upendo na ile Kazi ukapoteaaa kabisaa

2. Nilikuwa mtoro balaa mpaka Mkurugenzi aliandika barua kwenda Utumishi ya Mimi kuvuliwa madaraka na kupewa mwengine.

Yaani aliyekuwa kijana wangu wa chini sasa hivi ni boss wangu.

3. Kuona hii ajira siipendi Tena, nikaona nitafute uhamisho, changamoto sasa, Mkurugenzi kagoma kabisaa kusaini barua zangu za kuniruhusu nikatafute post kwengine.

Anasemaga "bado nakuhitaji sanaa na siwezi kukuruhusu uondoke"

4. Nakiri; kunivua madaraka hata sijamlaumu, kiukweli kabisa nimekuwa mtoro balaa, siipendi Kazi Tena (kwasasa napenda sanaa biashara yangu na wanangu).

5. Yaani kazini naweza pitisha wiki sijasaini daftari la mahudhurio maana naingia saa 3 au 4 asubuhi na "ole wako uniulize lolote juu ya hilo..!!""

6. Yaani kwasasa siipendi Tena hii halmashauri, siipendi Tena hii Kazi (niliyokuwa naiwaza kuifanya miaka hiyo), kifupi HII OFISI NA KAZI YA SERIKALI SIVIPENDI KABISAAA.

BIG PROBLEM
Kuona nawaze kujiharibia future kazini nikaona nishirikishe wakubwa.

Hao wakubwa nao wamenipa ushauri ambao HATA SIJAUKUBALI.

Ninachonipa "Huu ukichaa wa kutopenda Kazi" ni kwamba NAHITAJI KUWA HURU.

Nahitaji kuwa kwenye biashara zangu masaa 24,
Nataka chochote kinachotokea kwenye biashara nikione, KIFUPI BIASHARA IMENIMEZAA HASAA yaani ROHONI na NAFSINI NAWAZA BIASHARA ZANGU.

Naweza kuwa ofisini kuanzia asubuhi mpaka jioni ila nikaishia ku-google na kusoma mambo ya biashara hiyo, nikaishia kupiga simu dukani na Kwa wateja badala nifanye Kazi za watu..!!!

Ushauri..
1. Shangazi yangu aliniambia "NIOE" halafu mke ndio asimamie halafu Mimi niendelee kupambana na ajira.
HUU USHAURI NILIGOMA KABISAAA

2. Boss mmoja, aliniambia nitafute uhamisho ili niwe karibu na biashara yangu.
Nikaona hili wazo ni sahihi, kwa maana biashara yangu ipo mkoa wa jirani na niliko.
Ila sasa tokea 2021 nianze harakati za kuhama basi Mkurugenzi kagoma kabisaaa kunisainia barua ya uhamisho ili nikatafute post kwengine (mkoa ilipo biashara yangu), hili swala LIMEFANYA NIMCHUKIE KABISA.

Nikawaza kuacha Kazi.

Nina watoto wawili mmoja darasa la 3 mwengine la 2.
Hawa watoto nawaelewa sanaa, nawasomesha Shule ada Mil 2.7 *2 (Mil 5.4, WANASOMA SHULE MOJA).

Wapo Dar kwa mama zao (kila mmoja na mama ake), ila tunawasiliana kila siku.

Nahitaji kuhama niende kwenye biashara zangu halafu niwavute wanangu ili niishi nao.
NAWAPENDA SANAA WANANGU.

Nawaza kuacha Kazi ili nikakomae na biashara yangu.

CONCLUSION.
Sina wazo la kuoa na wala sitaki kuoa, hivyo sihitaji kuwa na mtu wa kusimamia biashara sijui kunisaidia kulea.

Nikiangalia Kazini napata hela na biashara napata pesa.

Kwahiyo nipo dilema, nikisema niache Kazi Kuna pesa itapwaya tu kwenye maisha yangu, sasa naona kama duka litahelemewa na majukumu.

NIA YA KUACHA KAZI NINAYO, ILA SABABU SINA.

Ukicheki nilisoma sanaa kwasababu ya hii Kazi ila SIIPENDI TENA.

Mpaka muda mwengine nawaza KWANINI SASA NALISOMA SANAAA HIVI?

Ushauri wenu na MSAADA WENU MUHIMU SANAA.

Asanteni.

#YNWA
Sasa hapo principle yako ya kukataa ndoa inakuadhibu.😁

OA

Mwanamke asimamie biashara wewe nenda kazini Simple as fvck!
 
Najihoji sana kuhusu elimu yako.

Yaani una kitu kinaitwa MAKUSUDI halafu unataka tukushauri.

Andika barua kuacha kazi uendelee na biashara zako kwa sababu uzembe wako unaoufanya makusudi unatutia hasara kodi zetu na unaziba nafasi za watu wanaoweza kuwa na tija kwenye nafasi yako.

Mkuu. omba kuacha kazi
 
anakaza shibgo sana...

aniulize niliacha kazi kisa kamtaji kamenona siku nimeshaacha tu na kurudi kwenye kibarua changu mwezi mrefu mbona,,,,,,, aisee ilifika ndani ya biashara yangu nakaaa mpk unasinzia nzi ndo rafiki zangu,,, kurudi haiwezekani kuhama eneo haiwezekani hapo nilishalipia kodi mwaka mzima,,, mbona nilipata matangazo mengi ya kasafishe nyota😂😂😂😂 mwisho wa siku niliona ni utumwa nikaeka mdogo wangu asimamie nikarudi kutafta kazi sekta binafs nikapata afisa mikopo vitawi vidogo km brac changamoto za kukejeliwa mtaani kutoka ofisi serikalin kuja kuchukua maden kwenye mikeka ba wote wanajua historia yangu huo mtaa nililamba zarau😂😂😂 mpk kukaa sawa kwenye reli nililamba zarau za kutosha hazizidi zile nilizokuwa nazo wakati naacha kazi😂😂😂.. ajabu kule kibarua changu nako kukaanza kunukia nilifanya km vile sipajui sikushoboka nako tena nilikuwa mwaminifu kazin nikawaza tu nichukue mkopo nianze kufanya uwakala ndan ya kakibarua changu nikapiga kazi nikapata eneo la karibu na chuo nikafungua kantin vitafunwa napika mwenyewe pakachangamka kote kule kwa kwanza na huku kwa pili sikutamani kuacha kaz na sikujeurika corona ilipokujakantin likafungwanikabaki na kule jwa kwanza nako kulidoda kazin watu wanafukuzwa ilifika mda bos anatupa nshahara baada ya miez 2 au nusunusu watu walikimbia ila mimi niligoma mpaka hali mbaya ya kiofis kutamani kufunga nipo nao tu wakasitisha kukopesha ikabaki kufata mikopo tu ili wafunge ofis mikopo nilipomaliza kuikusanya tukapewa rikizo tutaarifiwa jwenye sim siku ya kurudi japo hali ilikuwa mbaya kuke kibarua changu cha kwanza hakihawahi kudoda,,, hali ya corona ilipojata nikaitwa and this time sikuwa mtu wa kuzurula ni ndani na kiyoyozi kuwa interview watu kiufupi nilikuwa bosi HR😂😂😂 bosi alikuwa ananiomba ushauri kila kitu nikajikuta mi ndo bosi sasa ila nna nizamu😄..
mpaka sasa likifika swala la KAZI 🙌

Ndio kawaida ya maisha KILA MTU HUKUSHAURI KULINGANA NA EXPERIENCE YAKE.

Kuna jamaa mmoja ni muhasibu hapo zamani ofisini, ye alichukua mkopo wa mil 40 benki halafu akakimbia na ajira.

Ninavyoongea na wewe muda huu anabonge la duka G.mboto mwisho.

Anauza nguo za kike za kila aina.

Huyu jamaa huwa nam admire sanaa.

Halafu ametokea maisha ya uswahilini tu@Majohe ila amefika mbali.

Sijui kama angekuwa bado huku Halmashauri angefika hii level.

Hivyo kila mtu HUKUSHAURI jambo kulingana na experience yake.

#YNWA
 
Nimeongelea uhakika wa kujuta na kutokujuta, takwimu zako zina base wapi jomba?

Hapa kazini wapo wa3
Wawili waliacha Kazi sasa wapo Dar wanapambana na biashara.

Mmoja aliacha Kazi, biashara ikafa sasa hivi yupo NGO anafanya Kazi.

#YNWA
 
Back
Top Bottom