LGE2024 Mimi na familia yangu tumeshajiandikisha kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Muda huu napiga ghahawa kitu cha kapuchinoo....huku nayajenga
Mipango yangu,siyo ukaniweke foleni kama wanataka waje nyumbani kwangu waniandikishe
πŸ˜„


Ova
 

Attachments

  • 20241012_093511.jpg
    363.2 KB · Views: 2
Kwa hiyo na uchaguzi mkuu wa 2025 unashauri tusifanye uchaguzi wa Rais kwa kua matokeo tayari unayajua!!??
 
Naungq mkono hojq nq hii ianzie kwenye vyama wakati wa kura za maoni
 
Usiongee maneno matupu,lete data na achaa blaablaa!!
 
Samaleko mheshimiwa sana

tunaomba muwe na utaratibu wa kuandikisha watu kwa kuwafuata katika maeneo yao ya kazi kama mnavofanya kwenye sensa vinginevyo % kubwa ya watu hawatojiandikisha nikiwemo mimi

Nawasilisha
Kama kujiandikisha mpaka ufuatwe kupiga kura itakuaje?

Boksi la kura liwekwe kwenye junctions zote Tanzania?
 
Kwani ww na familia yako mkijuandikisha ndio sisi tunahamasika? Hatuwezi kuendelea kushiriki chaguzi za kihuni zinazowafanya ccm mkae madarakani kwa shuruti.

Inshort Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Magufuli ndio alikuja kuweka mipaka ya sisi kuendelea kushiriki chaguzi za kishenzi. Ni aidha machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ili heshima ya box la kura irejee.
 
Muda huu napiga ghahawa kitu cha kapuchinoo....huku nayajenga
Mipango yangu,siyo ukaniweke foleni kama wanataka waje nyumbani kwangu waniandikishe
[emoji1]


Ova
Na wwe pika chai,achana na ready-made!!
 
Waziri pekee aliye karibu na wananchi kupitia JF.
Hv wale mawaziri wengine wanapatikana wapi
tupeni mitandao yao tusafate huko
Wote wako humu na mafake ID, wanajua wakiingia na ID zao, watakutana na hasira ya umma.
 
Kama kujiandikisha mpaka ufuatwe kupiga kura itakuaje?

Boksi la kura liwekwe kwenye junctions zote Tanzania?
Yaani kwa kifupi anamaanisha.kila kitu kifanyike online, kama vile unavyo fanya miamala ukiwa uko home kwako! Sasa ila ukitaka cash [emoji389] lazima uifute kwa wakala au Bank!!
 
Mwenyewe nataka kwenda kujiandikisha,nawaza hilo foleni, kama Mama Samia tu kapanga foleni huko Dodoma,mimi ni nani nisipange foleni!![emoji113]
Huku kwetu vijijini hakuna foleni
Mimi nimeshaenda na nimesharudi
 
Dr Doroth nasmini umekuwa sasa umeacha kumnyanyasa mumeo .......maana kajamaa kamevumilia aseee khaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…