antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Wahenga walisema 'Msema kweli mpenzi wa Mungu..'Mimi na familia yangu tumeshajiandikisha kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Marekani ni mkubwa kiteknolojia lakini inadaiwa uchaguzi wake ulichezeshwa.Yaani kwa kifupi anamaanisha.kila kitu kifanyike online, kama vile unavyo fanya miamala ukiwa uko home kwako! Sasa ila ukitaka cash [emoji389] lazima uifute kwa wakala au Bank!!
Hapana tujiandikishe tusiishie kulaumu kumbuka Mwenyekiti hata akichanguliwa na watu 3 tayari ni mshindi, tuache mawazo ya kizamaniKazi Bure tu hapo hakuna aja ya kufanya uchaguzi
Kususia inakusaidia nini? lengo la CCM ni msusie iendelee kufanya ufisadi wake, Zambia walikomaa zaidi ya miaka 6 lakini hatimaye wamepata mwangaSitajiandikisha Wala kupiga kura mpaka niskie wananchi wakiri uchaguzi ulikuwa wa huru na haki! lasivyo hamnioni, na nafurahi kuona watu wengi wamesusia chaguzi kutokana na sababu hyo hyo wizi wa kura! sasa nyie endeleeni kukaza fuvu!
acha shoboAcha! Kwani kuna mtu amekulazimisha?
Kujiandikisha kwa uchaguzi huu wa serikali za mitaa hakuna kitambulisho chochote wanatoa labda usubiri maboresho ya daftari la kudumu la wapiga kura linalosimamiwa na tume ya uchaguzi.Ntajiandikisha kupata kitambulisho tu sio Kwa ajili ya uchaguzi
Hilo daftari la kudumu la wapiga kura Kuna namna yeyote taarifa zake zinaintergrate na huu uandikishaji unaoendelea?Kujiandikisha kwa uchaguzi huu wa serikali za mitaa hakuna kitambulisho chochote wanatoa labda usubiri maboresho ya daftari la kudumu la wapiga kura linalosimamiwa na tume ya uchaguzi.
Wakitaka mm nijiandikishe ccm iondoke kwanza madarakani.....Mimi nikichek huku Arusha au Mtaa ninao kaa naona kama watu wamesusia huu uchaguzi wanatubembeleza kujiandikisha
Mimi nikichek tuu naona kama Wananchi wameshachoka hizi siasa hapa kuna kesi Kijana wa Chama anamwambia Mzee akajiandikishe Mzee kamtukana kijana kamkosa na PangaWakitaka mm nijiandikishe ccm iondoke kwanza madarakani.....
Havihusiani kabisa kwanza uchaguzi huu unasimamiwa na Tamisemi na ule wa mwakani ndiyo utasimamiwa na INEC yaani Tume ya Uchaguzi.Hilo daftari la kudumu la wapiga kura Kuna namna yeyote taarifa zake zinaintergrate na huu uandikishaji unaoendelea?
Bas sitaenda kupoteza muda kuandikisha jinaHavihusiani kabisa kwanza uchaguzi huu unasimamiwa na Tamisemi na ule wa mwakani ndiyo utasimamiwa na INEC yaani Tume ya Uchaguzi.
Kamnyanyasa ki vp!? Alafu acha zarau za kumwita mwanaume mwenzio 'Kajamaa" wwe ndiyo unamlisha!?Dr Doroth nasmini umekuwa sasa umeacha kumnyanyasa mumeo .......maana kajamaa kamevumilia aseee khaaaa