let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Rudia kusoma kwa ufahamu nilichokiandika.Kwa hiyo Malcolm x alikuwa homeless na alikuwa na starvation kiasi kwamba ashawishike kwa tende??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia kusoma kwa ufahamu nilichokiandika.Kwa hiyo Malcolm x alikuwa homeless na alikuwa na starvation kiasi kwamba ashawishike kwa tende??
Jiheshimu aisee hiyo sio fiesta kabisa😬Ila mkibusu jiwe na kuvaa ka kanga bila chupi (waume kwa wake pamoja) sio fiesta 😂😂
subiri povu toka kwa Jews wa Nyeburu
Shida ilianza kwa nabii mkuu wa uongo pedophile Muhammad, alianza na kutunga Aya kwamba yeye anagawana Mali za uizi na mungu wake Allah na pia akaanzisha consultation fee kumuona lazima ulipe {biblia imeandika yote ayo} yatatokeaYani ni maigizo kweli kweli mkuu.
Kuna muda mambo yanayoendelea kanisani ni bora walevi bar.
Kwaya zimejaa uzinzi, wachungaji na manabii nao pia, mavazi na uimbaji utadhani uko fiesta.
Mahubiri siku hizi 99% ni toa ndugu, na yanamfaidisha mchungaji anakula bata dubai na kuishi kama elon musk.
Ukiwauliza, majibu ni Mungu anaangalia moyo.
Wakati imeandikwa kilicho ndani mwako kitajidhihirisha nje.
Hao akina geodavie wanajiita manabii kila sku kuna nabii mpya.
Ukweli ni kwamba siku hizi watu hawaendi kanisani kuabudu bali wanataka kuwa part of a community tu.
Mungu hakuumba dini. Hiyo defn ni kwa mujibu wa fikra zako.Nope, dini ni mpango wa mungu kumtafuta/kumkomboa binadamu, mungu ndo anapanga njia za kumwokoa binadamu, sisi hatuna hata mpango wa kumtafuta mungu tunawaza matumbo yetu tuu, tukikosea mungu ndio wa kwanza kutufata na kutwambia makosa yetu, hata hilo wazo la kutubu lenyewe linatoka kwa roho mtakatifu, ambaye ni mungu...binadamu hatujielew tukitenda dhambi hata hatujali tunaendelea na mambo yetu tuu mungu ndo anahangaika kuturudisha kweny mstari.
We hama tu.Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Kasome habari acha kupewa habariInasikitisha sana mpaka ma cardinals kutoka Afrika walikuwemo na kukubaliana mpaka wanawake wawe na sauti sijui nini wanajua wao
Ila cha kushangaza mpaka wajeda walienda sijui kwa kudhibiti watakao kataa yale mambo wapigwe
Nina swali broo...Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Messiah Jesus Christ alisema watakuja manabii wa uongo mmoja wapo ni pedophile Muhammad, kapotosha kweli ya kristoIlinenwa na kristo kwamba watakuja manabii wa uwongo na sasa mwaona yametimia maneno ya messiah ila bado watu hawaelewi tu.
Dini iliyothabiti na iliyokamilika isiyo na upotofu wowote na inayomuelekea Mwenyezi Mungu moja kwa moja ni uislamu,
Kwanza maana yake tu Islam yaani aliyesilimu, yaani aliyejisalimisha na kumuelekea Mungu.
Hii inatosha kutuonesha kwamba uislamu unatufaa na tunapaswa kusilimu mbele za Mungu mmoja tu ambaye hajazaa wala hajazaliwa na jana mshirika yeye hachoki wala halali.
Uislam sio Imani ni kujisalimisha , Koran imeweka waziDuniani dini ni moja tu ambayo ilianza tangu enzi na mitume wake kama kina Ibrahim, Mussa, na kufikia kwa Yesu ambaye aliileta injili ili kulivunja agano la kale na kuketa agano jipya ambapo amepata upinzani mkubwa kwa wayahudi hata kufikia hali ya kutoaminiwa na wayahudi waliowengi kisha Muhammad akaja kuimalizia jazi ya Yesu katika kuwafunza watu kuhusu Mungu na mwongozo wa maisha ya binadamu.
Issue I nakuja pale ambapo watu wanajua ukisilimu basi unakuwa Chini ya waarabu, ukweli ni kwamba kusilimu ni kujisilimisha mbele za Mungu mmoja tu.
Neno uislamu ni kiarabu lenye maana kusilimu yaani kujisalimisha kwa Mungu.
Asa sijui why some people are not able to understand the truth of that religion.
Hii inamaana hujui kiarabu lugha ya mungu Allah ambae hajui lugha nyingine , umeweka matamshi ya kiarabuAshahadualaila hailalaa wahashaduanna Muhammadarassululaa..
Pedophile Muhammad alikuwa tapeli SanaInategemea na dini uislamu haudemand katika pesa we ni kumjua Mungu na kufanya ibada tyu huo ndiyo uislamu, hautosikia fungu la kumi wala sadaka ya bwana.
Hakuna sehemu nimeandika fikra zangu.Mungu hakuumba dini. Hiyo defn ni kwa mujibu wa fikra zako.
Dini ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta Mungu ila Wokovu kupitia Yesu Kristo ni mpango wa Mungu kumtafuta/kumrudisha Mwanadamu.
Mkaribishe kubusu jiwe weka waziUnakaribishwa sana
Embu tujuze ni Mungu yupi amezaa au kuzaliwa ? Na yupi amekufa ?Karibu mkuu katika dini ya ukweli dini ambayo Allah anaitambuwa kuwa ndio dini yenye ukweli karibu tumuabudu Mungu mmoja asiye na mwana na wala mtoto Mungu asiyezaa na wala kuzaliwa Hana mwanzo na wala hana mwisho Mungu asiye lala na wala kusinzia Mungu asiye kufa na wala kuzaliwa Mungu wa milele amin.
Aaaah mzee hapo unakosea sasa.Embu tujuze ni Mungu yupi amezaa au kuzaliwa ? Na yupi amekufa ?
Kwani kama umeamua au unaamua kubadili dini sisi inatuhusu nini? Unatuambia tufanye nini?Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.
Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.
Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!
Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!
Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
HaswaaMungu hakuumba dini. Hiyo defn ni kwa mujibu wa fikra zako.