Mimi ni mlevi wa kutazama vipindi vya wanyama ila huyu mnyama simpendi

Ana sumu koboko kasingiziwa yaani aking'ata nyati au ng'ombe kwenye kwato sekunde tano nyingi ataishiwa nguvu n kudondoka
 
Watu tunaopenda channels za documentary kama hii NAT Geo wild Sisi ni gentlemen....ukiona unapenda Sana hizi channel ujue umeshakuwa MTU mzima, huwa watoto wangu wananiona Mimi ni mshamba nikiwa naangalia hizo channels
Sio kuwa mtu mzima nafikiri hii inakuwa kwenye damu tu. Mi nakumbuka tangu nipo shule ya msingi nilikuwa napenda mambo kama hayo.
 
Yaani huyu mimi namuogopa sana 😢
Usimwogope bali itahidi kuwa na mazoea naye hadi utamzoea na kumwona ni rafiki - unaweza kumbeba,kumweka juu ya kichwa chako n.k. (ref picha ambatanishi) usitishike kwa ile " harsh hissing sound" ila jitahidi usimwumize au kumdhuru i.e. handle with care.
 
Uweeh! Anang’ata uyo hakuachii na wapo wenye sumu pia wanapofua macho!😅
HAKIKA hang'ati kwani hana meno na wenye sumu hawapatikani hapa Tz na hakuna /sijaona documentary yoyote inayoelezea sumu kutoka kwa kinyonga.
 
Sipendi anavyotema mate kila wakati,but that's nature.Wote wanaua kikatili.Fisi yeye anaanza kula hata kabla hajaua .
Fisi yeye hataki mambo mengi anaona kuua ni kupoteza muda
 
HAKIKA hang'ati kwani hana meno na wenye sumu hawapatikani hapa Tz na hakuna /sijaona documentary yoyote inayoelezea sumu kutoka kwa kinyonga.
Kinyonga akihisi hatari anakung’ang’ania😂 wapole ila waone tu hivyo mi nawaogopa mno hao🫢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…