kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Yaani hata kumwona sitaki kabisaUsimwogope bali itahidi kuwa na mazoea naye hadi utamzoea na kumwona ni rafiki - unaweza kumbeba,kumweka juu ya kichwa chako n.k. (ref picha ambatanishi) usitishike kwa ile " harsh hissing sound" ila jitahidi usimwumize au kumdhuru i.e. handle with care.
Pole yako. Watu wanampakazia mambo mengi ya kizushi lakini ukiwauliza n'nani aliyewahi kung'ang'aniwa na kinyongaKinyonga akihisi hatari anakungβangβaniaπ wapole ila waone tu hivyo mi nawaogopa mno haoπ«’
Umenikosea sana kumsema Paka, kiumbe nikipendae duniani, kwanza nakusahisha Paka sio mdokozi kama anatunzwa vema na kupewa chakula kwa wakati, usaliti pia sio ila yeye hataki shida, pesa ya chakula ikikuishia anaenda kwa wenye uwezo wa kumtunza π€£na siku ukizipata atarudi na kujituliza kwako kama sie yeye aliyopotea hata miezi mitatu, Paka ana akili na utambuzi madhubuti wa mambo ya rohoni,
Ukimuweka Paka na Mbwa halafu ukaact kufa, Mbwa ataanza kulia na kutapata, Paka atakusogelea kwa madaha atakunusa na kukusonya wewe na Mbwa wako kisha anarudi zake kujilaza kwenye sofa.
Mimi fisi simpendi hata kumuona. Yaani sijui najisikiaje. Mwingine ni mnyama anaitwa sloth. Aisee huwa nabadili channel hapo hapo sijui kwa nini siwapendi hao wanyamaSipendi anavyotema mate kila wakati,but that's nature.Wote wanaua kikatili.Fisi yeye anaanza kula hata kabla hajaua .
Unampenda tuu (just like that) au unamwelewa na jinsi ya kuishi naye na madhara yanayoweza kutokana na yeye? e.g. magonjwa (zoonotic diseases) Rabies, CSD, na huku vijijini tunahifadhi unga wa ugali kwenye debe au mifuko (Viroba) ukisahau kufunika nyau anaenda kunya hapo na kufukia
Ndugu sijakuona siku mingiii? Au tunapishana? Nimefurahi kukuona leo humu ndani Mulhat MpungaHaswa wanaobugia ugoro .... Wamasai na wajinga wajinga walio bobea kwenye ugoroπ€π€π€π€£π€£π€ͺ
Na sijui kwanini serikali isiuweke ugoro kuwa ni dawa ya kulevya?!
ππ Sloth si ndo the slowest animal on earth?Mimi fisi simpendi hata kumuona. Yaani sijui najisikiaje. Mwingine ni mnyama anaitwa sloth. Aisee huwa nabadili channel hapo hapo sijui kwa nini siwapendi hao wanyama
Fisi huwa napenda harakati zake tu!Fisi na tabia zake za kifisi
Yaan jamaa nilichafu sana,Sipendi anavyotema mate kila wakati,but that's nature.Wote wanaua kikatili.Fisi yeye anaanza kula hata kabla hajaua .
Sio busara, predator wadogo wanakula haraka iwezekanavyo kwa kuogopa predator wakubwa wasiwapore chakula...hawana muda wa kuremba muda wowote akija sharubu nalala njaaKuna fisi na mbwa mwitu hao Huwa hawa subiri kuwa wao wakikamata windo wanaanza kula
Kutazama na kufatilia maisha ya wanyama ni somo zuri sana,
Napenda sana busara za Simba katika kuwinda
Simba ni mstaarabu, ila hawa wengine jau sana hasahasa huyu komodo, aseeKuna fisi na mbwa mwitu hao Huwa hawa subiri kuwa wao wakikamata windo wanaanza kula
Kutazama na kufatilia maisha ya wanyama ni somo zuri sana,
Napenda sana busara za Simba katika kuwinda
ππππUnampenda tuu (just like that) au unamwelewa na jinsi ya kuishi naye na madhara yanayoweza kutokana na yeye? e.g. magonjwa (zoonotic diseases) Rabies, CSD, na huku vijijini tunahifadhi unga wa ugali kwenye debe au mifuko (Viroba) ukisahau kufunika nyau anaenda kunya hapo na kufukiana unga wote hauliki tena. Nyau anajisaidia uvunguni mwa kitanda chumba chote kinakuwa na badiliko la hewa fulani hv "amazing".
Kumbe, kwa Tanzania hayupo?Yupo huko Indonesia kwenye visiwa vya komodo,kule wanamtambua kama mamba wa ardhini
Huyo ndo Komodo. Amina ya mijusi wakubwa wenye sumu kali sana.Sio kweli. Monitor lizard ni kenge.
Yaan mimi huwa naenjoy sana vipindi vya wanyama, tena ukutane na zile makala za baharini (samaki n.k) ndo utashangaa maajabu ya dunia.Watu tunaopenda channels za documentary kama hii NAT Geo wild Sisi ni gentlemen....ukiona unapenda Sana hizi channel ujue umeshakuwa MTU mzima, huwa watoto wangu wananiona Mimi ni mshamba nikiwa naangalia hizo channels