hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mkuu kama we ni muislamu kweli nionyeshe hiyo sheria inao lazimishwa bint wa miaka 9 aolewe? Acheni Black mailing.hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli
Tofautisha ‘Kulazimisha’ na ‘Kuruhusu’.Mkuu kama we ni muislamu kweli nionyeshe hiyo sheria inao lazimishwa bint wa miaka 9 aolewe? Acheni Black mailing.
Basi nionyeshe hadeeth au Aya ya Qur"an inao kubali mtoto wa miaka tisa kuolewa.Tofautisha ‘Kulazimisha’ na ‘Kuruhusu’.
Mtu anaruhusu ushoga, halafu ukimbananisha anakwambia onyesha wapi umelazimishwa kuwa shoga
Siyo binti, ni mtoto.hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli
Kwa Nini hasa una mashaka?hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli
Ukishakuwa na mashaka na Imani yako wewe usijihesabu kama ni Muislamu.. sheria ya dini inasema anapovunja Ungo anafaa kuolewa.. hatuaelekezwa Miaka..hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli
In short ni ubakaji na si vema kulihusisha hili na dinihata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli
Mudi si alibaka wa miaka 9, hiyo hadith nenda google utaipata..Basi nionyeshe hadeeth au Aya ya Qur"an inao kubali mtoto wa miaka tisa kuolewa.
Hivi watu wanajua miaka tisa ni watoto walioko darasa la tatu na nne.. Hebu Wajaribu kwenda shule waombe kuona watoto wa la nne au tatu alafu wajitafakari ni kweli anaweza kuwa mke wa mtu hata kama ni kwa hiyari tuu.Siyo binti, ni mtoto.
Miaka 9 hajawa binti.