Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli
Usihofu kabisa mbona Mtume Muhammad alifanya hivyo kwa Aisha? Au unajifanya hujui hilo?
. Sahih al-Bukhari 810-870 BK, 256 BH​

1a. "Alisimulia baba wa Hisham: Khadija alkufa miaka mitatu kabla ya Nabii kuondoka Madina. Alikaa huko miaka miwili au zaidi kisha akamuoa 'Aisha alipokuwa msichana mwenye umri wa miaka sita, na Muhammad aliikamilisha ndoa yao kwa tendo la unyumba wakati 'Aisha alipokuwa na umri wa miaka tisa." Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.236, uk.153.

1b. Habari hizo zipo pia kwenye Bukhari juzuu ya 5 kitabu cha 58 sura ya 43 na.234, uk.152.
 
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli
Aya gani ndani ya Quran ameambiwa Muislam aoe mtoto wa miaka 9?
 
Hivi watu wanajua miaka tisa ni watoto walioko darasa la tatu na nne.. Hebu Wajaribu kwenda shule waombe kuona watoto wa la nne au tatu alafu wajitafakari ni kweli anaweza kuwa mke wa mtu hata kama ni kwa hiyari tuu.
Huo ni ubakaji.

Changamoto kubwa inayoikabili dini ya kiislamu ni kwamba mtume alioa mtoto wa miaka 9.

Ukisema ukweli kuwa mtume alibaka wanaanza kukutafuta wakuue. Hicho ni kizingiti kikubwa kwenye imani yao, namna ya kurekebisha kosa hilo haijulikani.
 
Kuna vitu Huwa havicheleweshwi kwenye Uislamu na Waislamu:
1.Kuzikwa kwa haraka.
2.Kuolewa mtu anapofikia balehe.
3.kubadili dini(kusilimu) Ili awe muislamu.

Sasa miaka 9 na kashabalehe Kuna shida gani?

Halafu ni Sheria iliyopitishwa huko Iraq, sisi bongo inatuhusu nini?

Vibinti vyenyewe vinatolewa bikra na miaka 8 au 9, Sasa jamaa wanataka kuviepusha na Zambi zisizo na kichwa Wala miguu
 
Nchi zote za Kiislamu zimeruhusu vitoto vya miaka 9 kuolewa na vibabu vya miaka 60 kwenda juu.
Nchi ya Iraq imepitisha hiyo sheria juzi tu.
Kisa kufuata suna ya mtume wao.
Na tamaa kwa vitoto vichanga.

Sunan an-Nasa'i 3379
It was narrated that 'Aishah said:
"The Messenger of Allah married me when I was six, and consummated the marriage with me when I was nine."

Ruksa kuoa vitoto vichanga vya miaka 6 kama kuiga matendo ya Kioo chao cha Dini.
Kumwiga m'bora wa mitume wao.
 
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli
We Nenda tu huo upande mwengine, hakuna wakufafanulia hapa, Mungu ndie ajuae kama uliwahi kua hata na chembe ya imani.
 
Back
Top Bottom