Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

kwakuwa amekataa idea ya kuoa vitoto vya miaka sita ndio anakua kafiri duh kweli hiyo dini na ovyo
Hakuna mtu aliyewahi kuoa watoto na uislamu hauruhusu kuoa mtu ambaye hajabalehe, makafir wanahangaika sana kutunga tunga vistory vyao ili kupotosha tu ,lakini hawatafanikiwa maana ukiangalia hata hao walionzisha hizo story za kutunga wameishia kuwa waislamu from europe na america
 
Sheria za Uislamu ni sheria zilizotoka kwa Allah subhaanah, hivyo kwa muumini jambo la kwanza kabisa linalompasa ni kujisalimisha na kunyenyekea kwa yale aliyoamrishwa, sawasawa yanaafikiana na upeo wake wa akili au laa.

Kwa sababu translation ya kuzipinga na kuzikosoa sheria za Allah ni kwamba wewe unaamini akili yako inaukamilifu kuliko hekma ya Allah

Tuje kwenye shaka uliyonayo
Tuambie wapi sharia ya miaka9!
 
Hoja ni umri wa mtu.

Kama ni mtu mzima ameamua kuwa shoga hiyo haina shida.

Lakini mtoto asiyejitambua kumuingilia, siyo ubinadamu, ni unyama.

Unyama huo unapohalalishwa na dini, dini hiyo inakuwa ya kinyama.
Asante kwa kukubali kuwa shoga mnaweza kuamua kwenye dini yenu.
Alikuwa binti yako ameingiliwa hadi unalalamika?
Yeye alilalamika kwamba hakutaka?
Una ushahidi umri uliotajwa kama sahihi wakati kipindi hicho hamna calendar rasmi?
Mtoto mdogo inapenya vipi au ulishawahi kutest mtoto mdogo?
 
Kuna vitu Huwa havicheleweshwi kwenye Uislamu na Waislamu:
1.Kuzikwa kwa haraka.
2.Kuolewa mtu anapofikia balehe.
3.kubadili dini(kusilimu) Ili awe muislamu.

Sasa miaka 9 na kashabalehe Kuna shida gani?

Halafu ni Sheria iliyopitishwa huko Iraq, sisi bongo inatuhusu nini?

Vibinti vyenyewe vinatolewa bikra na miaka 8 au 9, Sasa jamaa wanataka kuviepusha na Zambi zisizo na kichwa Wala miguu
Hakuna shida mkuu hadi huyo binti atapokuwa mtoto wako ndio utaelewa.
 
Shoga habakwi, ànapenda mwenyewe kufirwa na wakati mwingine wanahonga ili kufirwa.
Mtoto wa miaka 9 anapenda kubakwa? Acha kushabikia ubakaji wa Muhammad kwanza Qur'an haijaruhusu waislam kubaka.
Nioneshe reference ya kubakwa au unaropoka kama umekunywa damu za makanisani?
 
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.

Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.

Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Mzazi ndio mwenye jukumu la kumuozesha mwanae suala la kuoa halina umri muhimu binti awe amebalehe basi, UISLAMU haujaweka umri wa kuoa ila kwa mtu alie balehe ruksa kuhudumia Mume au mke
 
Utahamia upande upi sijui!, labda atheist au kina Buddha, Mary alimzaa yesu akiwa na miaka kati 12-15. Jiulize mungu anaruhusu vipi kitoto cha miaka 12 kimzae mtu aitwaye masihi?. Imagine mtoto wako wa darasa la sita kinazaa, Yani ni kwamba enzi hizo hiyo miaka ndiyo watoto wengi wa kike huolewa, miaka ya 1700 au 1800 huko USA age of consent unajua ilikuwa ni miaka mingapi?...Kwa jinsi Hali ilivyo Sasa na jinsi mambo mengi yalivyobadilika si busara kufanya uamuzi wa kukioza kibinti cha hiyo miaka, Kwa zamani ndivyo ilivyokuwa inafanyika lakini Sasa hivi si zamani tena.
 
Back
Top Bottom