fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
kwamba hutakiwi kutumia akili,duh!
Suala la Mtume swalla llahu allaihi wa sallam- kumuoa bi Aisha katika umri ambao unaonekana mdogo, hutakiwi kulitazama na akili iliyokuwa programmed namna ya kufikiria.
Bali unatakiwa ufikirie kwa akili salama amabayo haijaathirika na fikra hasi.
Ukilitaza suala hili kana kwamba Mtume alimuoa bi Aisha kwa lengo la kukidhi matamanio yake ya kingono, basi lazima utaliona suala hili ni batili.
Bi Aliolewa kwa maslahi mapana, ndio maana baada ya kufa Mtume swalla llahu allaihi wa sallam- bi Aisha alimaliza umri wake katika kufundiaha watu sunnah za Mtume, na Bi Aisha ndiye mke wa Mtume ambaye amesimulia hadithi nyingi za Mtume kuliko mke yoyote wa Mtume.
Hilo suala halipo kama wengi wanavyolitazama.