acheni kujificha kwenye kivuli cha kuvunja ungo,maumbile ya binadamu yanatofautiana katoto ka miaka saba kanaweza kuvunja ungo huku bado hata chuchu hakina ,nyonga hazijakomaa,akili haijakuwa wala nguvu za kuhimili kuingiliwa na mtu mzima hana na shule ndio atakua darasa la kwanza ,unawezaje kuoa hako katoto kwa kuwa tu mtume wako alifanya hivyo.kufanya hivyo kunaweza kupelekea kumuharibu vibaya huyo mtoto via vyake vya uzazi ,nadhani hata huyo aisha ambaye ndio rolemodel wenu kwenye haya hajaweza kuzaaa katika maisha yake yote